Fahamu kwanini Rais kaelekeza viongozi waandamizi kupitia upya hoja za CAG na kuzijibu, ikiwemo kuchukua hatua

Mitanzania mingi ni mazuzu
 

Nimeishia hapo:

Sio kila hoja inayosemwa ni ubazirifu, basi kweli ni ubazirifu....
 
Una dalili za usomi,lakini hujui matumizi ya 'a' na 'h'!!..inasikitisha
 
Umeandika kwa nguvu sana. kifupi hatuna Rais tuna Mlezi(mama). Hana maamuzi au hajui aamue nini. kwa nini asiisome yeye na kutoa maamuzi? anawarudishia watuhumiwa wasome walichokifanya then wajiwajibishe? Tumepigwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…