Fahamu: Leo ni februari 15, 2020 kwa kalenda ya Julius

Fahamu: Leo ni februari 15, 2020 kwa kalenda ya Julius

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Inashangaza kwa kalenda ya Gregory mkuu ambayo wengi tunaitumia leo ni Februari 29, 2020 lakini kwa kalenda ya Julius leo ni Februari 15

Kalend tunayoitumia inaitwa Greogarian Kalenda kwa sababu ya mchango wake kuhusu ile robo ambayo inakosekana kwenye kalenda ya Kaisari Julius

Papa Gregory XIII alitambulisha robo hiyo mwaka 1582. Watu walilala oktoba 4, 1582 wakaamka kesho yake ikawa octoba 15, 1582, ilifanyika hivyo ili kuifidie zile robo zilizopotea tangu kuundwa kwa kalenda ya Julius mwaka 46BCE

Tangu hapo hadi leo kalenda ya Julius na Grogory ikawa inatofautiana kwa siku. Kalenda ya Julius inakubalika kwa Oriental na Eastern Orthodox, baadhi ya wakazi wa Afrika Kaskazini ‘berbers’
 
Back
Top Bottom