Fahamu maajabu yaliyopo ndani yako

khamis kilo

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2016
Posts
1,137
Reaction score
1,380
POWER OF MIND 1
-

Ni Jambo Lisilo pingika kila Binadamu ana zaliwa na power of Mind (Nguvu Ya fikra /Akili /ubongo) Ukitaka kuthibitisha hilo mtazame mtoto mdogo katika maisha yetu ya kila siku. -

Mtoto mdogo ana Uwezo wa kutambua mtu fulani Ni mzuri na mtu fulani Ni mbaya Mara Baada ya kumsogelea ndio maana utakuta katoto haka pendi kubebwa au kosogelewa na mtu au watu fulani,
Ukiona kila unapo jaribu kumsogelea mtoto fulani ana Lia wakati muda mchache Uliopita alikua na furaha jiulize Una dhamira gani na huyo mtoto. -

Hii haina maana unapo msogelea mtoto ana Lia basi wewe Ni mbaya kwake, hapana sina maana hiyo ninacho maanisha hapa kila unapo msogelea mtoto zaidi ya Mara 3 Kwa nyakati tofauti mtoto ana Lia basi nafsi yako mwenyewe ndio Ina majibu kwasababu dhamira yako Una ifahamu mwenyewe. -

Ni mara ngapi mtoto ana kuonyesha kidole sehemu fulani huku akiwa ana Lia na unapo Tazama hauoni chochote, hii ina maana mtoto ana macho yenye uwezo wa kutazama kuliko mtu mzima? Hapana Hivi Una tambua kwamba Una weza ukawa Una Tazama sehemu fulani lakini kitu kilichopo mbele yako haukioni? -

Je Ni Kwasababu hauna macho? La hasha, Mwenyezi Mungu Ana Tuambia Tuna macho lakini hatuoni, Sio kwasababu hatuoni Ni Kwasababu Tume zifunga akili zetu zisione. -

Sasa kama ulikua haufahamu macho yako yana uwezo wa kutazama tu lakini akili yako ndo ina uwezo wa kuona, Labla nikupe mfano mdogo sana, ukikutana na mtu mwenye msongo wa mawazo ana kuangalia kwa macho mawili tena mwa umakini mkubwa sana lakini hakuoni. -

Macho Yake Yana Tazama fikra zake, kwa maneno mengine ana ona anacho kiwaza sio anacho kitazama hiyo ndo power of Mind (Nguvu Ya fikra) mtu akiwa katika hali hiyo Una weza ukaita hadi ukome. -

Kama ulikua haufahamu Mtu ana Uwezo wa kukudhuru, kuathiri fikra zako au kukufanyia chochote kwa kutumia Power Of Mind (Nguvu Ya Fikra)
 
Mtoa mada ni kanjanja tu aka mbabaishaji unaandika maneno mengi yasio na maana ngefaa utumie mistari 8 tu lakini umekazana kuzunguka kichaka na kuchosha wasiojitambua.
 
Mimi nguvu yangu ya akili nikimuwaza mtu ambaye hatujaonana kwa mda mrefu lazima nionane nae ndani ya nusu saa hata kama yuko mbali hazipiti siku mbili ninamuona
 
Muda mwengine unapoleta kitu kipya kwenye jamii yako wasilisha vizuri ili ueleweke vyema Alasivyo hautaeleweka na kupinwa na furushi la raia! Kuna maswali mengi ktk mada yako ulitakiwa uyajibu lkn umebaki kulia kama mtoto!
 
Muda mwengine unapoleta kitu kipya kwenye jamii yako wasilisha vizuri ili ueleweke vyema Alasivyo hautaeleweka na kupinwa na furushi la raia! Kuna maswali mengi ktk mada yako ulitakiwa uyajibu lkn umebaki kulia kama mtoto!
Na wewe kuyajibu unashindwa nini?
 
Bado kuna udambu dambu unatakiwa hapo kwenye kuathir fikra za mtumwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…