Fahamu maana ya Sadist hapa

Fahamu maana ya Sadist hapa

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Ni mtu anayefurahia mateso ya wengine mfano

Akiona unapata mshahara milioni mbili anataka upungue upate milioni moja.

Akiona watoto wako wana amani na furaha anataka kukufukuza kazi ili dunia ikucheke.

Akiona Kuna taratibu au Sheria zinakupa favor Hilo linamuuma anataka kuziondoa.

Akiona unamkosoa anataka kukumaliza.

Hapendi kuona jamii ikiwa na raha anataka umuogope kama Simba.

Sadist hupenda sifa zije kwake matwezo yaende kwa wengine.

Sadist Ni Kama shetani hebu ongezea sifa za Sadist.
 
Shikamoo Google!
"a person who derives pleasure, especially sexual gratification, from inflicting pain or humiliation on others"
Yaani starehe yake / amani ya moyo wake ni kuumiza/kudhalilisha wengine kwa njia yoyote ile inayomburudisha yeye!!
 
Haswaaa huyo ndie sadist
 
Wamejaa bongo, walikuwa washangiliaji.
 
Back
Top Bottom