Haswaaa huyo ndie sadistShikamoo Google!
"a person who derives pleasure, especially sexual gratification, from inflicting pain or humiliation on others"
Yaani starehe yake / amani ya moyo wake ni kuumiza/kudhalilisha wengine kwa njia yoyote ile inayomburudisha yeye!!
Na kuomba sana Mungu usikutane na mtu wa aina hio!!Haswaaa huyo ndie sadist
Kuna mzee mmoja wa makamo anaishi Geita chato..ana hyo roho..nimemsahau jina lake