Fahamu madhara ya kula chips sana

Fahamu madhara ya kula chips sana

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,298
Reaction score
7,612
Chips zege (mchanganyiko wa viazi na mayai ya kisasa)

Miongoni mwa Chakula kinachopendwa sana katika jamii yetu ni Chips, ambapo miongoni mwa vyakula vyenye mafuta mengi. Pia inasemekana ni miongoini mwa vyakula ambavyo hupikwa katika joto la juu sana.

Hiki ni chakula chenye mafuta mengi na mafuta yanapoingia mwilini huenda kuzunguka sehemu ya mwili wa mwanadamu. kama ni mtu ambaye hufanyi mazoezi madhara yake ni kuziba mirja na kupelekea magonjwa ya moja na hatari zinginezo kiafya.Mafuta yakiliwa sana husababisha kuzidi mwilini.

Inasadikika mafuta yaliyopo katika chipsi sahani moja endapo ukiamuaa kuchuja kuna uwezekano wa kupata nusu glasi ya mafuta ya kupikia.Kiujumla mwili huwa hatuupi kinachofaa, na badala yake kama hakitumiki wakati huo basi huhifadhiwa kwa matumizi ya baadaye.

Ndio maana tunapokula vyakula vyingi vyenye mafuta mengi hutupelekea kuongeza unene na uzito.Unene huwa ni chanzo cha magonjwa mengi ,Kwa mfano Shinikizo la damu hutokana na kuwa na mafuta mengi mwilini ambayo hupelekea mirija ya kusafirisha damu kuwa na mafuta.

Hii husababisha njia ya kupitia damu kuwa nyembamba hivyo kusababisha nguvu ya ziada itumike kusukuma damu hiyo ili isambae mwilini kama inavyotakiwa. Nguvu hii ya ziada huongeza au kupunguza mapigo ya moyo.Mapigo ya moyo yanapoongezeka sana ni hatari na yanapo pungua sana pia ni hatari.

Hivyo basi ni vizuri kwa watumiaji wa chipsi kujitahidi kutumia kwa kiasi kidogo au kuacha kabisa vile vile mazoezi pia ni muhimu ili kupunguza mrundikano wa mafuta katikaTafiti za kisayansi zimegundua kuwa chipsi husababisha kukuza hips hivyo kwa wanaume wengi hawatapenda kuwa katika hali hiyo,

hivyo ni muhimu kujiepusha na pia isije ikawa kichocheo kwa wanawake kutumia sana ili kukuza sehemu hizo za maumbile bali wapunguze kutumia chipsi pamoja na kufanya mazoezi ili kuweka mwili katika hali ya kuepuka magonjwa yasiyo ya lazima.pia ulaji wa chips kupita kiasi husababisha wanaume na wanawake kuzeeka mapema, na kusumbuka kwa kutokupata kizazi kwa sababu ya mafuta mwilini na uzito mwingi.

zege.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 2061005

Sent using Jamii Forums mobile app
Biashara inalipa sana mjini muulize zero IQ
 
Uongo mtupuu.

Mafuta ya kwenye chips wala hayaongezi unene wowote, na wala vyakula vyenye mafuta mengi havijawahi kuongeza mafuta mwilini mwa mwanadamu.

Iko hivii: Vyakula vinavyoongeza unene kwa mwanadamu (unene ndiyo mafuta yenyewe) ni vyakula vya wanga. Ukila wanga kwa wingi unapata unene, ila vyakula vingine havileti unene.

Mwili wa mwanadamu unatunza extra nutrients katika mfumo wa fats ambazo ndo mafuta. Ina maana ukila wanga kwa wingi inayobaki bila kazi inageuzwa kuwa mafuta ndipo inatunzwa kwenye ngozi, hatimaye mtu ananenepa.

Hivyo acheni kudanganyana kwamba vyakula vya mafuta ndivyo vinanenepesha wakati kiuhalisia ni vyakula vya wanga ndivyo vinavyoleta unene.

Unforgettable
 
Kwa hiyo viaz vya chips havina wanga??
Ukila mara kwa mara matokeo ni nn??
 
Viazi vyenyewe sio shida maana vina calories chache, shida ipo kwenye mayai ambayo yana calories nyingi ambazo extra calories zinahifadhiwa mwilini as fat, pia fat zenyewe zikizidi zinahifadhiwa sio lazima carbohydrates zibadilishwe kuwa fat ñdio zihifadhiwe Kama adipose tissue

Pia mayai na mafuta ya kupikia yana cholesterol ñyingi ambazo zinadeposit kwenye mishipa ya damu hivyo kupunguza diameter ya mishipa ya damu, hivyo husababisha Hypertension (msukumo mkubwa wa damu, HBP)
 
Mo si anashinda Coloseum GYM atanenepa vipi?
Ndio ufute uongo wako hakuna unene wa hela, sababu za mtu kuwa mneee ni
1. Genetics
2. Medicatioñs
3. Life style (hapa kuna ulafi, kazi afanyazo mtu, kutofanya mazoezi, kulala nk) na wengi wanakuwa wanene kwa sababu hii, na simply uneno (overweight) sio mzuri kiafya na ndio maana ukiwa na BMI Zaid ya 25 utashauriwa upunguze uzito
 
Sasa uongo upo wapi ina maana watu wenye pesa huwaoni na vitambi au pesa anazo Mo tu?
 
Back
Top Bottom