Fahamu mahusiano ya Jay-Z na wapenzi (ex) wake

Halafu kumbe mwamba naye alipita na kashemeji ketu ka Aaliyah! Mademu wa mambele kubadili mabwana kama nguo hawaoni tabu kitambo, uzuri wao hawawapangishi foleni kwa wakati mmoja kama wanavyofanya akina Mwaju

Akina Mwaju wao waliiga vibaya, waka plus njaa na tamaa, ni mabwana 20 kwa wakati mmoja. Ukimkuta mstaarabu sana anao watano, yaani huyo ni yule anayetarajiwa kwenda mbinguni kwa namna anavyoonekana mtakatifu.

RIP shemela.


NRNE
 
Duh. Bado wa huko Nyumba kama wa high school , college huko. Enzi za kunyetoka kwake.........
 
Bwana Ali Msomali Aliwanyoosha wote Jay Z na Beyoncé wakiwa mume na mke, Jamaa sijui alikuwa anatumia mganga gani kwa kweli.
Mpaka Diamond pia Kama inavyolipotiwa na wadaku wa mitandaoni- alipakuliwa malinda- sijui Kama hii ni kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…