Fahamu majina ya magari ya Toyota na maana zake

Toyota Camry- toyota kanmuri( Kijapani) , likimaanisha "Crown [emoji146]" kwa kiingereza( little crown).

Toyota Corona- Crown kwa kilatini.

Corollla- little Crown

Suzuki Kei- Keijidosha= light automobile.

Kwa magari yote madogo madogo yanayotumia mafuta kidogo yalitengenezwa kwa ajili ya kupunguza gharama na kufaa katika matumizi ya mjini( urban lifestyle)

Magari kama Suzuki Kei, ist, Passo, Porte, e.t al., yote huitwa kei cars au City cars kwa kiingereza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…