Fahamu majina ya magari ya Toyota na maana zake

MAJINA MAGARI YA TOYOTA NA MAANA ZAKE.

Kampuni Ya Toyota Ilianzishwa Na Mtu Anayeitwa Toyoda Na Si Toyota Kama Wengi Wanavyofikiria . Mwanzo Ilikuwa Ikijulikana Kwa Jina La Katakana . Kampuni Ya Toyota Ni Ya Mtu Na Familia Yake...
Asante sana mkuu kwa hii taarifa ambayo sikuwahi kujua kabla maana ya hizo toyota mbalimbali

Vipi unaipendea nini Vanguard? mimi naipenda sana muonekano wake tuu.Ila sijui ubora wake kama unazidi wa rav4
 
Toyota Brevis - Brevis ni neno la kilatini linalomaanisha ‘Brevity’ ambayo imetoka kwenye neno ‘Brief’, yaani kuelezea kitu kwa summary bila kuingia kwenye details.
 
MAJINA MAGARI YA TOYOTA NA MAANA ZAKE.

Kampuni Ya Toyota Ilianzishwa Na Mtu Anayeitwa Toyoda Na Si Toyota Kama Wengi Wanavyofikiria . Mwanzo Ilikuwa Ikijulikana Kwa Jina La Katakana . Kampuni Ya Toyota Ni Ya Mtu Na Familia Yake...
RAV4 juu kabisa.. Mnyama unaenda naye popote. Kwenye kokoto, vilimani, matopeni, long safari etc.. Mikono juu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…