Fahamu makabila yanayoongoza kwa ubishi wa maongezi

Kifaru86

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2017
Posts
1,734
Reaction score
3,822
1.waluguru toka morogoro

2.waha toka kigoma

3.wabwali toka kigoma na rukwa

4.wasafa toka mbeya

5.wandengeleko toka rufiji

6.

7.

8.

haya endeleni kutaja makabila mengine yanafuata baada ya hayaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wew unafanya kazi idara ya makabila au? Maana we ndo mtoaji mkuu wa takwimu za makabila hapa jf. Anyway na we ni mbishi ukihitajika kubisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
msela wa Dar anapotafuta ugomvi na wanaume wa mikoani na hana ubavu wa kuwatisha
 
Makabila yote hayo ni kweli yana sifa ya ubishi ila ni WAKARIMU SAAANAAA

Ubishi ni tofauti kabisa na haiba zao
 
Waluguru jamaniiiii hawa viumbe wametoka sayari gani, Nimegundua na ufupi unachangia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…