Fahamu mambo muhimu yafuatayo kuhusiana na bara la Afrika

bigmukolo

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
602
Reaction score
2,238
Fahamu mambo muhimu yafuatayo kuhusiana na bara la Afrika.

‎HISTORIA YA DUNIA NA MAMBO YAKE

Fahamu mambo muhimu yafuatayo kuhusiana na bara la Afrika.

a) Ni bara la pili kwa ukubwa duniani kwa kipimo cha km 30 millioni.

b) Bara la afrika lina asili ya watu weusi kwa asilimia 90 na idadi ya jumla ya watu takribani 1.3 billion kwa mjumuiko wa nchi zote.

c) Mpaka kufikia hivi sasa 2020 bara la afrika lina jumla ya nchi 57.

d) Algeria ndio nchi kubwa katika bara la afrika kwa kipimo cha km 2.4million na kidunia inashika nafasi ya 10 baada ya kuongozwa na urusi inayoshika nafasi ya kwanza kwa kipimo cha km million 18 huku Democratic Republic of Congo (DRC) inashika nafasi ya pili kwa ukubwa katika bara la Africa kwa kipimo cha km 2.2 million huku nchi ya Tanzania ikingia mara 2.5 katika nchi ya Algeria na Congo mara 2.3.

e) Nchi ya Nigeria ndio nchi pekee yenye idadi ya watu wengi sana katika bara la Afrika ambapo mpaka kufika hivi sasa nchi hii ina takribani ya watu 120 millioni.

f) Tanzania ndio nchi pekee kutoka bara la Afrika kuwa na vivutio vingi vya utalii hii ikiwa ni pamoja mlima Kilimanjaro,mbuga za wanyama kama serengeti,mikumi na selous.lakini pia nchi hii hutoa madini ya Tanzanite, almasi, makaa ya mawe bila kusahau dhahabu na mengine mengi sana ambapo kwa namna moja au nyingine yamekuwa kivutio kwa watalii.

g) Katika mambo saba ya kustajabisha duniani jambo moja linapatikana katika bara la Africa na nchi ya misri nikiwa na maana ya mapiramidi kwa namna moja pyramid zimekuwa kivutio kikubwa sana duniani takribani watalii million 300 walifika katika mazingira yale na kupata kujifunza mengi ikiwa baadhi ya mapiramidi yalitumika kama makaburi ya wafalme wa zamani katika taifa lenye historia kubwa duniani.

Binafsi niishie hapo kwani hayo ni baadhi ya mambo muhimu ambayo unapaswa uyafahamu kuhusiana na bara letu pendwa la Afrika.

Mungu ibariki tanzania mungu ibariki Afrika.

Asanteni sana na mungu awalinde wote ni bara la pili kwa ukubwa duniani kwa kipimo cha km 30 millioni.

b) Bara la afrika lina asili ya watu weusi kwa asilimia 90 na idadi ya jumla ya watu takribani 1.3 billion kwa mjumuiko wa nchi zote.

c) Mpaka kufikia hivi sasa 2020 bara la afrika lina jumla ya nchi 57.

d) Algeria ndio nchi kubwa katika bara la afrika kwa kipimo cha km 2.4million na kidunia inashika nafasi ya 10 baada ya kuongozwa na urusi inayoshika nafasi ya kwanza kwa kipimo cha km million 18 huku Democratic Republic of Congo (DRC) inashika nafasi ya pili kwa ukubwa katika bara la Africa kwa kipimo cha km 2.2 million huku nchi ya Tanzania ikingia mara 2.5 katika nchi ya Algeria na Congo mara 2.3.

e) Nchi ya Nigeria ndio nchi pekee yenye idadi ya watu wengi sana katika bara la Afrika ambapo mpaka kufika hivi sasa nchi hii inatakribani ya watu 120 million.

f) Tanzania ndio nchi pekee kutoka bara la afrika kuwa na vivutio vingi vya utalii hii ikiwa ni pamoja mlima Kilimanjaro, mbuga za wanyama kama Serengeti, Mikumi na Selous lakini pia nchi hii hutoa madini ya Tanzanite, almasi, makaa ya mawe bila kusahau dhahabu na mengine mengi sana ambapo kwa namna moja au nyingine yamekuwa kivutio kwa watalii.

g) Katika mambo saba ya kustajabisha duniani jambo moja linapatikana katika bara la Africa na nchi ya misri nikiwa na maana ya mapiramidi kwa namna moja pyramid zimekuwa kivutio kikubwa sana duniani takribani watalii million 300 walifika katika mazingira yale na kupata kujifunza mengi ikiwa baadhi ya mapiramidi yalitumika kama makaburi ya wafalme wa zamani katika taifa lenye historia kubwa duniani.

Binafsi niishie hapo kwani hayo ni baadhi ya mambo muhimu ambayo unapaswa uyafahamu kuhusiana na bara letu pendwa la Afrika.

Mungu ibariki tanzania mungu ibariki Afrika.

Asanteni sana na mungu awalinde wote.
 
1.Ni bara lenye utajiri wa asili wa uoto lakini ni bara masikini kuliko yote.
2.Ni bara lenye bahati ya hali ya hewa.Lina bahati ya kuufaidi mwanga wa jua kwa muda mrefu.Huwezi sikia kitu kinaitwa jua kuzama saa tano usiku

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom