kiungaycrosspurebreeds
Member
- Jan 23, 2020
- 7
- 19
UNAPOAMUA KUANZA UFUGAJI WA NG'OMBE WA MAZIWA, ZINGATIA VIGEZO VIFUATAVYO KATIKA KUCHAGUA NG'OMBE BORA ATAKAYEKUPA FAIDA KUBWA
1. UMBO : siku zote ngo'mbe wa maziwaQQ anatakiwa awe na umbo la pembe tatu. Awe amepanuka kwa nyuma na kutengeneza umbo kama la pembe tatu.
2. AWE NA TUMBO KUBWA kwa sababu ng'ombe mwenye tumbo kubwa anauwezo wa kula sana na kutunza chakula kingi hivyo sehemu ya chakula kinabadilishwa na kuwa maziwa, ng'ombe mwenye tumbo kubwa anauwezo wa kutoa maziwa mengi sana.
KIWELE NA CHUCHU KUBWA: siku zote ng'ombe mzuri wa maziwa anakuwa na kiwele kizuri kikubwa kilichoshikamana vizuri na mwili. Kiwele kizuri huwa kinabonyea kama spongi.
RANGI YA MWILI: Ng'ombe mzuri wa maziwa huwa ana rangi moja au mbili tu kwenye mwili wake mfano brown, nyeupe, nyeus nki.
Karibu katika makala inayofata tutaanza kuchambua aina za ng'ombe wa maziwa.
Usiache kulike na kushare page yetu ya
KIUNGAY COSS PURE AND QUALTY BREEDS
0744464140