Kama wewe ni msanii ama muigizaji na unataka kuwa maarufu basi hakikisha unadate na mtu na kapo yenu iwe public. Yani ijulikane na jamii.
Nakwambia utakuw staa mkubwa mpaka utashangaa mwenyewe. Angalia watu wote waliofanikiwa Kisanaa ni wale ambao walipita kwenye relationships kadhaa na zikawakubali.
Ila wale ambao walijifanya wabishi na hawataki mahusiano yao yajulikane wengi hawakudumu kwenye ustaa na walianguka mapema mno.
Mifano ipo mingi ila mtanisaidia wenyewe kuitaja.