Na huu mwimbo mpya mambo matano hakumbakiza kabisa.Gadner na Jide, vijembe mwanzo mwisho
Mi sijaelewa, hasa uwe star kudate na star au na hata mtu yoyote mtaani kwenu alafu mjianike Kama maandazi kwenye ndoo ya kuuzia au, sababu hao mastar waliokuwa majina tayari walitengeneza njia za ustar.Kama wewe ni msanii ama muigizaji na unataka kuwa maarufu basi hakikisha unadate na mtu na kapo yenu iwe public. Yani ijulikane na jamii.
Nakwambia utakuw staa mkubwa mpaka utashangaa mwenyewe. Angalia watu wote waliofanikiwa Kisanaa ni wale ambao walipita kwenye relationships kadhaa na zikawakubali.
Ila wale ambao walijifanya wabishi na hawataki mahusiano yao yajulikane wengi hawakudumu kwenye ustaa na walianguka mapema mno.
Mifano ipo mingi ila mtanisaidia wenyewe kuitaja.
Mi sijaelewa, hasa uwe star kudate na star au na hata mtu yoyote mtaani kwenu alafu mjianike Kama maandazi kwenye ndoo ya kuuzia au, sababu hao mastar waliokuwa majina tayari walitengeneza njia za ustar.
Nioeshe demu wa Ommy DimpozKama wewe ni msanii ama muigizaji na unataka kuwa maarufu basi hakikisha unadate na mtu na kapo yenu iwe public. Yani ijulikane na jamii.