Torque vs HP
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,769
- 5,084
Fanya intermittent fasting,16-8 yaani masaa 16 hakuna kula then masaa 8 unaruhusiwa kula.Kweli mna raha wakati mimi nawaza nakataje hizi 15kgs nilizoongezeka ww unawaza kuzitafuta dah ila dunia hii sio fare kabisa .! Kila jion naziangalia raba wee narudi kulala
Uwii..navyoabudu kula sasa🥲..ngoja nipone nianze...kwakweli inakatisha tamaa...Fanya intermittent fasting,16-8 yaani masaa 16 hakuna kula then masaa 8 unaruhusiwa kula.
Ni rahisi kama hivi,kuanzia saa 12 jion mpk saa 6 asubuhi hakuna kula chochote zaidi ya kunywa maji then kuanzia saa 6 hio kwenda mpk saa 12 jion unaweza kula mara 2.Fanya hii kama life style yako kwa miezi michache tu utaleta matokeo.
It works 100%.
Kula hovyo, acha roho mbaya na hakikisha huna virusi vya ukimwiMimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 mpaka sasa, urefu wangu ni 180cm, uzito wangu ni 60kg mimi ni mwembamba sana ( bones) hali hii naona ni kero kwangu kwa sababu wembamba siyo asili yangu ni hali ambayo imeanza kunipata tangu nilivyofikisha miaka 25 nilivyokuwa chini ya hapo nilikuwa nina kg kati ya 64-66kgs...
Hahahaaaa mkuu nishanenepa muda nina 75 kg mpaka sasa, nilisovu kilichokuwa kinasumbua.Kula hovyo, acha roho mbaya na hakikisha huna virusi vya ukimwi...
Taja umri wako?taja una kilo ngapi mwilini ili tukupe ushauri ule chakula gani upate mwili.Habari Wakuu
Ni njia zipi mtu atumie ili kukuza mwili. Simaanishi kunenepa kuwa kibonge namaanisha kuwa na mwili wa wastani ambao unaweza kuvaa na kuwa na mwonekano mzuri. Unajua kuna ule wembamba ambao hata unaondoa mwonekano mzuri hata ukivaa.
Hata kununua nguo unasumbuka kupata saizi yako. Hapa pia simaanishi wembamba wa ugonjwa bali maumbile tu. Yani kama mnene anavyoweza kupunguza unene naomba kujua mwembamba anavyoweza kuongeza mwili
Asante
Habari Wakuu

Na unavo penda coca ya baridi. By the way uko wapi siku hizi, kimya sana jukwaaniUwii..navyoabudu kula sasa🥲..ngoja nipone nianze...kwakweli inakatisha tamaa...