Fahamu mbinu mbalimbali za kuongeza mauzo ya biashara yako

Wapi huko
 
Mimi ukweli ninashauku siku nikipata ushauri wa biashara gani nianzishe huku mkoani maana nipo njia panda na ninamtaji mdogo kila nikiangalia hari ya soko naona kama sio nzuri. But thanks kwa post yako mkuu kidogo nimeng'amua
 
Kweli
 
much appreciation bro...
 
Hii ni rahisi sana anzisha kile ambacho hakipo na hao Wazawa watakuwa hawana Choice.

Sasa kama wote mna maduka ya Hardware. wote mna maduka ya nguo ni kwa nini wasiende kwa ndugu zao?

Biashara za kuigana ziko hivyo.

Fanya kile ambacho hao wengine mpaka waje wa copy ni muda sana na ita wa cost sana na wazawa watakuwa hawana namna lazima tu waje kupata huduma kwako wewe wa kuja
 
Kanda ya Ziwa ipi mkuu. Mji wa Kahama na Mwanza umejaa wakuja na ndo wenye biashara za maana.
 
True
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…