the numb 1
JF-Expert Member
- Dec 15, 2020
- 1,562
- 2,902
Jini mahaba ni moja kati ya majini waliokuwa na nguvu sana na waliopo karibu sana na ufalme wa Dajjal/Shetani/Ibilisi/Lucifer/ ambaye pia wengine humuita mpinga Christo.
Elewa ya kuwa ndugu yangu unaesoma makala hii kwamba kuna daraja tano tu za majini katika ulimwengu huu tunaoishi miongoni mwa ukubwa wa tabaka la majini ambayo yanasadikika kuwa milioni 72 elfu hii ni idadi iliyopigwa na baadhi tu ya mashetani wenyewe lakini tukizungumzia kiasiri ya majini hawa wapo katika makundi matano peke yake.
watu wamekuwa wakidanganywa sana kwa hadithi na baadhi ya tungo za viumbe hawa lakini unachotakiwa kuelewa ni kwamba idadi ya viumbe hawa kwa wingi wao anayejua ni mwenyezi Mungu peke yake na hakuna mwingine, elewa pia ya kwamba majini hawa mtu akikwambia masubiani, masharifu,mashetani,mizimu,vibushuti,vinyamkela,mapepo,makudam,muwakili,ruhani,jini mahaba,makata,shetani,subisubi na yote yalew majina mengine unayoyajua hayo yote yapo kwenye kundi moja tu MAJINI hayana tofauti isipokuwa tu kwa mageuzi ya maumbile yao au uhasama wao yanayofanya au misaada yanayotoa ndio hupewa majina tofauti tofauti kulingana na kile yalichomfanyia au yanavyoonekana,
Sasa nikija kujaaliwa basi nitawaelezea majini ili kila atakaye kuwa anatamka jini aelewe anachosema na sio kutamka tu.
UTAJIJUA VIPI KAMA KAKUKUMBA
watu wengi mara ya kwanza anapowakumba huwafanya au kuwaingilia au kushiriki nao kinyume na maumbile na pia huwafanya wahanga kuwa ni wenye kujificha sana na aibu hii hata kutafuta msaada kwa maana humtia aibu katika sura yake kuzungumzia jambo hili na kumjaza upepo wa mawazo kuwa yeye akisema au akitaka msaada ataonekana vipi hivyo anakuwa anacheza na akili ya muhusika
Wengi huota wakifanya mapenzi na Mama zao au baba zao hata kaka au dada au mtu yeyote unaemuheshimu kama shangazi na wengineo.
Muhanga mwingine hujikuta akipitiwa tu na usingizi basi huota mwanamke anakuja na kuanza kumlazimisha au mwanaume wafanye nae mapenzi kinyume baada ya hapo muhusika huishiwa nguvu na kukubali kufanya au kufanyiwa, wengine huona kabisa kama kivuli live kikilazimisha kumuingilia sasa pale ambapo hata sema na kuhangaika kutafuta msaada wa hili basi kiumbe yule huanza kumfanyia hayo na kumshurutisha mambo mengine yaliyokuwa machafu na kumuadhiri mbele za watu na kumfanya ajihisi kuzalaulika na kuchukiwa bila sababu na humfanya kuwa ni mtu mwenye hasira za hovyo au mtu wa kulipuka hovyo, jazba zinakuwa karibu nae kwa muda mwingi.
Muhanga mwingine huyu humkumba na kumuotesha ndoto kuwa anawekewa vidole na watu sehemu hizo za siri na kumkusanyia kundi la watu ndotoni wakionyesha kumcheka na kumdhalau.
Muhanga mwingine huyu humkumba na kumfanya live hata watu wakawa wanaona kinachoendelea bila kumuona anayefanya na kuanza kuingiwa na hofu kubwa hapa wengine hufungiwa ndani kwa kuficha fedheha nje kwa watu na asijulikane kinachofanyika ndani.
Zipo aina nyingi sana za huyu shetani zilizo mbaya na za aibu kabisa wengine pia huzijua waliokwisha kukutana na wahanga au wahanga wenyewe. hizi nimeweka chache tu, zingine ni kama kutekenywa sehemu za siri na kuzikwa sehemu za maziwa bila kumuona anaefanya hivyo na wengine kuingiziwa vidole bila kuona anayefanya hivyo live.
Haya ikiwa hayajakukuta au hujaona basi usidharau na kupuuza kwa maana siku kinakutokea usione kitu kipya au usikutwe ukiwa hujui,
SABABU ZA KUMKUMBA MTU:
Zipo sababu nyingi za haya madudu kumkumba mtu hapa nitataja chache tu kwanza:
1: Kukaa na Shahawa muda mrefu
2: Kuchezea baharini nyakati za magharibi
3: Kuingia mkataba kwa ajili ya kupata mali
4: Kujichua au kujisaga maeneo ya chooni au maliwato Maarufu kama PUNYETO, (sio BAFUNI)
5: Kulala Uchi Huku mwili ukiwa na mafuta peke yako.
6: Kulala peke yako ukiwa nusu uchi huku umeweka marashi au air freshener bila kusali
7: Kulala huku kioo kikikuangalia upo uchi
KUMBUKA:
kila unapokaa muombe Mwenyezi Mungu akukinge na viumbe hivi maana vikikukumba kutoka huwa ni vigumu sana hadi upate mwenye maarifa navyo