Fahamu,mwanamke haridhiki wala hatosheki

Fahamu,mwanamke haridhiki wala hatosheki

BABA SANIAH

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2013
Posts
4,606
Reaction score
5,922
Usijidanganye mwanamme mwenzangu kuwa kuna siku utamridhisha mwanamke kwa lolote,kuanzia kwenye kumgegeda mpaka masuala ya kawaida,
wanawake wengi wao akili yao kama kuku,ukimpa mchele juu atapekua na chini zaidi.
Kwa hiyo mwanamme mwenzangu penda 45 tu,zingine jipende mwenyewe au wapende wanao,kama hayajakukuta siku yakikukuta ndio utajua.
Usione baadhi ya watu wanaishi single man ukawaona wajinga,waulize wakwambie.
Na nyie wanawake mnahangaika nini? Ona sasa mnafanywa incubator,mnazalishwa mtu anasepa,wewe unalea mtoto akifika miaka saba baba mtoto anabeba mwanae,utazalishwa na wangapi?
 
Sio hawariziki.... Ni wewe huwalizishi mkuu... Mbona me naishi nao vizuli tuuu kibo nampeleka hela hakosi
 
Kwan kama wanawake kuku we binadamu fwata binadam wenzio otherwis we kuku pia.
 
Unaposema wanawake hawaridhiki unamaanisha nn?? kama unamaanisha kugegeda basi wewe ndo utakuwa huwafikishi wanakotaka kufika, lkn ukimpandisha kale kamlima ukamfikisha kileleni mbona atakuita baba, yaani wanaridhika kinoma mpaka utamwonea huruma, sasa sijui unataka mpaka ashindwe kuamka kitandani asubuhi ndo utajua karidhika au mpaka azimie, looo.
 
Back
Top Bottom