Fahamu,mwanamke haridhiki wala hatosheki

Ila kweli hawaridhiki Hawa watu
That's nature kamwambie Mungu aliyewaumba Hivyo.!! Mungu aliyajua Hayo that's why akasema muishi nao kwa akili sasa kama umeshindwa uclete makelele yako hapo..!! Deal with your failures alone usitafte support
 
Haahahaaaha..!! Kwl kabsa
 
Muanzisha mada umenena ukweli mtupu....
Akili za hawa viumbe hata wao wenyewe sometimes hawazielewi....

Biblia iliposema tuishi nao kwa akili, iliona mbali sana
 
Ukikosea kuchagua utalia na moyo. Eti hawaridhiki !km hamjaweza kuvumiliana mapungufu yenu mkajengana, au hamujajenga mahusiano yenu kaz kwako, labda km ulikaa nao 10 wote wakawa sawa bas research yako n kweli. Otherwise pole kwa mawazo yako
 
Shunieeeeeeeeee! Upo mrembo! Mimi hayawezi kunikuta,kuna watu yamewakuta,tena ni maafisa waandamizi wa serikali,wanaovuta m 5 kwa mwezi na kila kitu ndani,hapo mimi ndo ngachoka kabisa na nyie kina dada.
 
Saizi unaongea kwa dharau lkn ipo siku utakumbuka maneno ya mshikaji
Bwana acha tu, kuna binti mmoja wa kishua nilikua nae...aisee sikia tu kwa wenzio. Ikafika a point nikamwambia mama nenda tu na maisha yako and that she z never gana be a blessing in my life na sijui kwa wengine huko mbeleni. GO !!!!

Its almost 2 years now and I have never been more happier than before. Trust me kuna wanawake wengi warembo na wenye standards ambao wanaweza kua nawe in ups and downs....just keep it in God's hands. Do Not Rush.


 
Pole jembe acha sisi tuendelee kuwaridhisha

Upo sahihi kabisa, KUMRIDHISHA NI MTAZAMO WAKO, ni kama ambavyo Kanisa Catholic lina mtazamo kwamba ma Sister wao na Mapadri hawana mahusiano, NI MTAZAMO TU! Ila anachofikiria huyo mwanamke kukuhusu wewe ni GIZA NENE ambalo hakuna mtu anayelijua!
 
Nawakubali watu kama wewe, mapenzi haya takiwi kutunyima raha kiasi cha kuatamani kufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…