Chatne nimeweka aina 2 shosti....ya nazi kule kwenye badia za dengu na ya embe mbichi kwenye badia za kunde....
Hivo ndo navisikia leo ni nini ehh?Ivi aya mapishi bado yapo?
Vijoya je unavijua?
Hivo ndo navisikia leo ni nini ehh?
huo unga wa mchele wauchujua na nini?Pia vinapikwa kwa mchele. Vinatiwa kwenye vikombe vya kahawa then vinawekwa ndani ya sufiria la maji unachemsha kama pudding vile.
Vikishaiva ukivitoa vinakua veupee na shape ka ya joya la nazi
huo unga wa mchele wauchujua na nini?
Naleta posa kwenu wiki ijayo, usinikatae. Miye ndo 'nimeshakufa' hivyoo.
farkhina mahabuba wanipa hamu ya huba
Unitoe hugahuga hata kama usuhuba
Mwali wajua mapishi toka bara mpaka pwani
Usinitie kapuni nisije pata uchizi.
Wasalaam
Platozoom chapa ng'ombe.
Cc: Fixed Point
farkhina yaani huyu platozoom msanii kweli alimtosa mwanangu charminglady angalia asikusumbue endelea kumpikia huyo hapo ndani yeye ale kwa maandishi hapa jamiiforumsHahahahahahaha poleee....nimeshawekwa ndani nampikia mwenzio lolππππππ
Hahahahahahaha poleee....nimeshawekwa ndani nampikia mwenzio lolππππππ
farkhina yaani huyu platozoom msanii kweli alimtosa mwanangu charminglady angalia asikusumbue endelea kumpikia huyo hapo ndani yeye ale kwa maandishi hapa jamiiforums
mtani kumbe mashairi yanapanda?Naleta posa kwenu wiki ijayo, usinikatae. Miye ndo 'nimeshakufa' hivyoo.
farkhina mahabuba wanipa hamu ya huba
Unitoe hugahuga hata kama usuhuba
Mwali wajua mapishi toka bara mpaka pwani
Usinitie kapuni nisije pata uchizi.
Wasalaam
Platozoom chapa ng'ombe.
Cc: Fixed Point
rafiki upo juu!!!!!!hutaki na visheti na jelebi!?
Asante twin mbona ningepitwa ngoja nijaribu wiki hii kutengeneza hii kitu naona kama rahisi vile kulingana na maelezo.
farkhina yaani huyu platozoom msanii kweli alimtosa mwanangu charminglady angalia asikusumbue endelea kumpikia huyo hapo ndani yeye ale kwa maandishi hapa jamiiforums
twin kwani na wewe unajua kupika visheti na jelebi?Asante twin mbona ningepitwa ngoja nijaribu wiki hii kutengeneza hii kitu naona kama rahisi vile kulingana na maelezo.
Hahahahaha ngoja niandae na mfuko wa kubebea vitakavyobaki naomba BAK aandae vingi maana sijawahi kuvila hata sijui vinafananaje.
huo unga wa mchele wauchujua na nini?
Ahaaa na ile inapikwa kwenye jani la mgomba inaitwa nini vile Angel Nylon..
Bobwe sijui, nshasahau.
Ila najua yanapikwa Kwa unga wa sembe au sio?
Hahahahaha ngoja niandae na mfuko wa kubebea vitakavyobaki naomba BAK aandae vingi maana sijawahi kuvila hata sijui vinafananaje.
Tena ugali na samaki au mlendaAblessed, Pacha wako anapenda kunitania mie mapishi yangu ni mchemsho tu huo muda wa kuanza kujifunza kutengeneza visheti na jelebi wala sina ila kama unataka michemsho na ugali na pilipili kwa wingi ππ karibu sana. Halafu wewe kama Pacha wako wote ni wapenzi wa ugali kama mimi.