clonazepam
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 247
- 281
Mkuu samahani.je mfano hua unatumia matunda kias gani kutoa idadi ya ice cream labda kwanzia mia nk?
Mkuu samahani.je mfano hua unatumia matunda kias gani kutoa idadi ya ice cream labda kwanzia mia nk?
Je cost ikoje yakutengeneza hizi matunda ukilinganisha na kawaida kama za ubuyu,maziwa nk?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ukiwauzia wanafunzi mia mia kwa material uliotumia, inalipa?!

Pole.Naomba uni-tag.
I'm cm cm x. 1Z 9LAMBA LAMBA ZA PARACHICHI NA MAZIWA :
Mahitaji:
Parachichi 1 kubwa kiasi 1/2
kikombe cha sukari Kopo 1 kubwa
maziwa mepesi ya ( LUNA EVAPORATED MILK ) 1/2 kikombe maji
Maelezo: Katika bakuli kubwa, changanya iliyosagwa parachichi, sukari,maziwa, na maji. Koroga mpaka sukari iyeyuke kabisa. Ongeza sukari zaidi kama ni lazima. Kumbuka kwamba utamu utapungua mchanganyiko ukiganda. Jaza mchanganyiko katika mifuko au vikopo na weka na vijiti katika vikopo. Gandisha katika freezer masaa 4 hadi 6. Baada ya hapo tayari kuliwa. View attachment 1186453MAZIWA YA KOPO YA LUNA YANAPATIKANA MADUKANI NA SUPER MARKETS. Enjoy
source Instagram