Elisha Chuma
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 282
- 275
Kumekuwa na watuwengi ambao wamekuwa wanahitaji kuwawajasiriamali lakini asilimia kubwa wanakuwa ni wale ambao wanakuwa wamefelimipango mikubwa au kuna kitu kimewasukuma ,vitu ambavyo unatakiwa usifanye kwakudhani unatengeneza maisha utakuwa unapotea.
Ujasiriamalisio kitu cha kufanyia majaribio au kufanyia maonyesho asilimia kubwa ya watuambao tunawachukulia mifano na vioo vya ujasiriamali walitumia muda mwingi sanahadi kufika walipo na wengi waliacha mambo yao ya msingi katika maisha yakawaida kama masomo, kazi, familia n.kkwa ajili ya kufikia hapo walipo usitafute majibu ya haraka sana katikaujasiriamali wako. UTAFANIKIWA
kwa matoleo zaidi na mengi ya kuelimisha kuhusu ujasiriamali unaweza kuyapata kwa kutafuta jina langu humu humu JF au kwa kwenda katika blogu yangu ya uelimishaji Elisha Chuma
- Kuna kundi ambalo wao huanza ujasiriamali baada ya kuona umri unaenda au wanategemewa sasa na aidha familia au kadahali usifanyeujasiriamali kwa kuona umri umeenda upate kitu cha kujishikiza, hapo utafelikumekuwa na watu wengi ambao hadi astaafu ndio anaanza ujasiriamali au baada yakuona umri umeenda ndio anatafuta kitu cha kumpatia ujasiriamali hii ni mbayana kufanikiwa kwake ni kugumu sana, ujasiriamali sio nyongeza ya ulichonachoujasiriramali ni msingi wa ulichonacho kama hukutengeneza msingi mwanzo ujuehata uweke ukuta imara kiasi gani dhoruba ikija ni lazima nyumba itapatamtikisiko.
- Wapo wengine ambao wanafanya ujasiriamali baada ya kukosa au kutuma sana maombi ya kazi ukifanya ujasiriamali wa aina hiyo utakuwa unakosea pia ujasiriamali sio njia mbadala wa kazi yako na tatizo kubwa linakuja kujitokeza mtu anapotaka matokeo ya ujasiriamali yawe sawa na ya kazi aliokuwa amepanga kuifanya .
- Asilimia kubwa ya wanaofeli ni wale ambao hata elimu ya kujitambua mwenyewe hana, unaweza kuja kumpa wazo la biashara leo kesho yeye akaanza nalo hata bila kuangalia kwa undani kama linaendana nayeye pia bila hata kulinganisha hiyo biashara na yeye wala kufanya utafiti matokeo yake mara nyingi ni kufeli.