Fahamu sifa za mwanaume asiye na pesa

Mleta Uzi inafaa ukapimwe mkojo
 
Mkuu unapimaje kiwango cha pesa alichonacho mtu? Maaana mm nina 100/= ya karanga nazani nastahili kuitwa mwenye pesa kwa sababu hujaainisha mtu mwenye pesa anatakiwa kuanzia kiwango kipi
 
Mmmmmh hatari
 
Kumiliki smart ilopasuka kioo ni uongo sio dalili ya asiye na hela.
Kushabikia yang ndio uongo kabisaa maana hata manji billionaire alikua mshabiki wa Yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…