Fahamu sura za waanzilishi wa Jamiiforums

Nyasamaki

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2014
Posts
1,055
Reaction score
595

Udaku Specially Imefanikiwa Kupata Picha za Waanzilishi wawili wa Mtandao Mkubwa East Africa wa Jamii Forums ambao ni Maxence Melo na Mike , Najua ni Wengi Mlikuwa mnapenda Kuwajua kama mimi nilivyokuwa nahamu ya kuwaoana, Jamii forums ni mtandao ambao watu huingia na kujadili mambo mbali mbali kama Siasa, Udaku , Biashara n.k
Hongera zao


 
huyo ambaye hajavaa miwani ashaitwa sana polisi kujibu mashtaka mara kibao lakin alivumilia mpaka leo jamii forums imekubalika hadi kwa viongozi.

Mwanzo mgumu sana.
 
Hakuna jukwaaa la mazoezi ????? Kuna mmoja litamfaa sn... πŸ˜›eep:πŸ˜›eep:πŸ˜›eep:
??
 
huyo ambaye hajavaa miwani ashaitwa sana polisi kujibu mashtaka mara kibao lakin alivumilia mpaka leo jamii forums imekubalika hadi kwa viongozi.

Mwanzo mgumu sana.

Mwanzo mgumu mno .....hata heshima yetu kubwa kwao si tu kuanzisha kitu hiki bali hasa hasa mapito yao ......wamejitolea sana kiasi cha kutoeleweka na watawala lakini sasa mdogo mdogo wanawaelewa ......
 
Sijawajua leo huyo mwingine alishapelekwa Blog fulani kuchambwa so nilishamuona

Mange alimchamba lakini Max hana mambo ya kipuuzi wala hakumjibu
Nimeona ----------- forum members wanamsema Max lo
 
Yani ukamchambe Max kwenye blog ya kahaba ina impact gani?

Kwanza wanaume wanaotembelea blog kama U-turn wana matatizo kichwani.

Kuna jamaa mmoja humu yuko addicted sana kule,tena anachangia mada kwelikweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…