Fahamu tabia za mwanamke au mwanaume mwenye mchepuko

Tabia ya mwanamke mwenye mchepuko ni kuwa na “makaka” wa mchongo wasiotokana na familia yao. Wengi wa hao makaka ndio michepuko hata kama utaona wanaitana kaka na dada na shikamoo kama zote.
 
Ukioa mwanamke wa kabila jingine kubali tu kwamba utapigiwa na jamaa wa kabila lake anao waita Kaka au binamu.
Mfano wewe msukuma uoe mngoni, wakati wangoni ndugu zake huwajui, akikuambia Ni mtoto wa mjomba lazima ukubali kumbe mwala sahani moja. Tena wengine wanatia kambi kwako kabisa, ukienda kazini wanakumbushana lizombe.
Mlio oa wahaya lazima muwe wapole especially wale ambao hawajui karufundi ka nyumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…