Fahamu tafsiri ya neno Maintenance kwa lugha za kiafrika

Fahamu tafsiri ya neno Maintenance kwa lugha za kiafrika

Mlenge

R I P
Joined
Oct 31, 2006
Posts
2,125
Reaction score
2,306
Maintenance. Actions performed to keep some machine or system functioning or in service. [wiktionary]. Tusichangananye maana na matengenezo Repair. To restore to good working order, fix, or improve damaged condition; to mend; to remedy. [wiktionary]


Maintenance Kwa Kiswahili: ukarafati.
Repair kwa Kiswahili: 1. matengenezo. 2. ukarabati

Maintenance Kwa Kinyiramba: kujipiya [Manguli wa lugha hii msaada wa uhakiki]
Repair kwa Kinyiramba: ???

Kwa lugha yoyote ya Kiafrika unayoifahamu? Pana changamoto kwamba Waafrika hatuna msamiati wa maintenance. Tulio nao ni wa repair tu.
 
Back
Top Bottom