kwa kifupi, chuo hiki huwa kinadaganya uma kupitia mwongozo wake unaotumwa TCU yaan, PROSPECTUS kuhusu swala la ada,kwa mfano mwaka jana schedule waliyotuma tcu ilionesha kuwa kitivo cha elimu maalum ada iliyooneshwa kwenye tcu ni Tshs 1600000/ lakini cha kushangaza tulipo report chuoni tukakuta mambo ni tofauti kabisa ni Tshs 1750000/. kwa hiyo kwa madogo zangu na wakubwa zangu mliochaguliwa kuja kwenye chuo hiki tafakarini hili ss tuliwaita tcu kwa hili kuliongelea hili wakashindwa kutoa majibu ya kuridhisha, na mwaka huu wamejitokeza na kusema kuwa wamepunguza ada hadi Tshs1600000/ chuo cha kidini kinadanganya tu na tcu nashindwa kuwaelewa, OMBI LANGU naomba serkali kwa kutambua umuhimu wa elimu maalum ianzishe chuo chake ili kusaidia walipakodi wake kupitia watoto wao,kwani chuo kinaishia kujisifia kuwa ni chuo pekee kinacho toa elimu hii,poleni sana mliopata udahili wa hiki chuo hiki yaani ni majanga.