Fahamu ubovu wa chuo kikuu cha sekomu cha walutherani kilichopo lushoto-tanga

sabai

Member
Joined
Dec 17, 2012
Posts
69
Reaction score
7
kwa kifupi, chuo hiki huwa kinadaganya uma kupitia mwongozo wake unaotumwa TCU yaan, PROSPECTUS kuhusu swala la ada,kwa mfano mwaka jana schedule waliyotuma tcu ilionesha kuwa kitivo cha elimu maalum ada iliyooneshwa kwenye tcu ni Tshs 1600000/ lakini cha kushangaza tulipo report chuoni tukakuta mambo ni tofauti kabisa ni Tshs 1750000/. kwa hiyo kwa madogo zangu na wakubwa zangu mliochaguliwa kuja kwenye chuo hiki tafakarini hili ss tuliwaita tcu kwa hili kuliongelea hili wakashindwa kutoa majibu ya kuridhisha, na mwaka huu wamejitokeza na kusema kuwa wamepunguza ada hadi Tshs1600000/ chuo cha kidini kinadanganya tu na tcu nashindwa kuwaelewa, OMBI LANGU naomba serkali kwa kutambua umuhimu wa elimu maalum ianzishe chuo chake ili kusaidia walipakodi wake kupitia watoto wao,kwani chuo kinaishia kujisifia kuwa ni chuo pekee kinacho toa elimu hii,poleni sana mliopata udahili wa hiki chuo hiki yaani ni majanga.
 
Sio hicho tu ni vyuo vingi mno vya Private vinadanganya ada nitarudi kuwatajia shemeji yenu amenibip
 
oil sumu njoo uwasikilize hawa,wana matatizo makubwa....
 
Last edited by a moderator:
Sio hicho tu ni vyuo vingi mno vya Private vinadanganya ada nitarudi kuwatajia shemeji yenu amenibip
wakati taratibu za kukopesha wanafunzi wa elimu ya juu unaanza bodi ya mkopo na vyuo husika kuna bei(ada) waliyokubaliana kwa mwanafunzi ambaye anakopeshwa 100% hiyo bei ndiyo inaonekana kwenye vitabu vya tcu. Kama chuo kimepandisha bei serikali haitambui jambo hilo. Kwenye vitabu vya tcu imebaki bei ya makubaliano ya awali. Na hii imetokea sana kwenye vyuo vya private ambavyo hupandisha ada kiholela.
Hivi ndivyo ninavyofahamu kama kuna mtu ana taarifa zaidi, karibu uchangie.
 
ujinga kuna best yangu tupo nae hapa udsm alipata three y 14 ana prnpl 2 DEs.yupo na alchaguliwa second round
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…