Fahamu ugomvi wa Leonardo Da Vinci na Michelangelo kwa ufupi

anonymousafrica

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2016
Posts
611
Reaction score
640
Ni mpenzi wa sanaa au watu mashuhuri waliowahi kuishi na kufanya mambo makubwa hapo zamani? kama ndivyo jina la Leonardo Da Vinci na Michelangelo si mageni kwako.

Leonardo.jpg
michelangelo.jpg

Sikumoja Leonardo alikuwa na Rafiki yake Giovana di Gavina. Walikuwa wanapita maeneo Fulani ya bank ya Spain karibu na kanisa la Trinita, watu mashuhuri kadhaa walikuwa wamekusanyika huku wakijadili mambo Fulani Fulani kama ilivyo kawaida ya wazee wa kazi (wanafalsafa na watu makini). Ubishi ukanoga wakamwita Leonardo awatatulie mambo kadhaa waliyojadili.

Wakati huo huo Michelangelo alikuwa anapita, Leonardo alisema: "Michelangelo ataweza kutuambia maana yake em tumuachie nafasi." Michelangelo, alidhani wamesema hivyo ili wamuingize mtegoni,

alijibu:

"Hapana, eleza mwenyewe (huku akimlenga Leonardo), Mzee wa sanamu na kazi zisizoisha, unajiona kama nani sijui. Umeunda sanamu na haujaimaliza na ndomana umeacha hiyo kazi kwa aibu kubwa. Na kuamua kuwapa kisogo na kuondoka. Leonardo alikaa kimya na kutabasam baada ya kuambiwa maneno hayo " (alinukuliwa katika The Notebooks of Leonardo da Vinci, Oxford University Press, 1952, trans. Irma A. Richter, p. 356) Tuendelee na utajua mkasa wa sanamu lisiloisha ulikuwaje.

Study_of_horse.jpg

Hii ilimfanya Michelangelo kuonekana mwenye wivu. Kwamaana alionekana mwenye hasira kwa Leonardo. Hasira zisizokuwa na sababu, msanii langa alisema ‘CHUKI KAMA SIGARA, NEVER DID NEVER WILL’ Lakini hadithi hii haisemi kwanini Leonardo alimwuliza Michelangelo aelezee maandishi yale na alimuuliza kwa tone ipi . Labda ilikuwa ya kuchochea kitu fulani, labda ilionekana kama kejeli. Inawezekana labda Leonardo hakumpenda Michelangelo lakini chuki ya Michelangelo kwa Leonardo ilionekana Dhahiri na aliitoa bila kificho kwa siku hiyo mbele ya umma wa mtume Mohamad.

Kwanini tunasema ni wivu, kwasababu Michelangelo alizaliwa na kumkuta Leonardo akiwa na shughuli zake, maarufu na anayesifiwa na kila mtu. Da vinci alikuwa mtangazaji, mwanasayansi, mchoraji na mambo mengine mengi yanayosababisha hadi leo hii kuwa mtu namba moja mwenye vipaji vingi na aliyeweza kuvisimamia vipawa vyake kwenye kila kazi aliyofanya.

Kazi za Langelo zote ni kama marudio tu kwa Leonardo kwa lugha rahisi tunaweza kusema hata alimuinspire. Leonardo alikuwa ameshafanya kazi nyingi sana, wakati Michelangelo alikuwa na kazi ya Sistine iliyochorwa juu ya jengo huko Vatican

The-Last-Judgment.jpg
alhamdulilah hii kazi ina historia ndefu na haikuwa ya mchezo, Sanamu ya David mfalme Daudi baada ya kucheza na kubaki bila nguo, sanamu ya Musa na Pietà sanamu ya huruma inayomwonyesha Yesu akiwa amemlalia Mariam baada ya kusulubiwa msalabani… ni kazi nzuri lakini zinaweza kulipwa na kazi mbili tu za Leonardo (MONALISA au LAST SUPER).

'David'_by_Michelangelo_Fir_JBU002.jpg
moses-by-michelangelo.jpg
Pieta-Michelangelo-St-Peters-Basilica-Rome.jpg

Picha ya MonaLisa sio kubwa, ni saizi ya kioo kidogo cha chumbani. Leonardo alifanya kazi ya kuichora kwa miaka minne na bado hakuimaliza, japo ukiitazama utasema imeisha.

Mona-Lisa-oil-wood-panel-Leonardo-da.jpg
Ah, lakini saizi ya kazi ya sanaa haipaswi kujaliwa sana, kwasababu wanasema: picha nyingi kubwa ni ndogo kiumbo.

Last-Supper-wall-painting-restoration-Leonardo-da-1999.jpg

Karamu ya Mwisho (LAST SUPPER) ni kubwa-460 × 880 cm. Leonardo alitumia miaka sita kuichora kabla ya kukata tamaa kwa sababu hakuweza kupata kichwa sahihi cha Kristo (Tutamzungumzia Casare Borgia siku moja kama walivyomzungumzia na Machiaveli kwenye THE PRINCE). Alichora mchoro baada ya mchoro na alitumia siku nzima kutazama ukutani. Lakini karamu ya mwisho (LAST SUPPER) ni picha bora hadi leo hii.

01-leonardo-da-vinci-og.adapt.1900.1.jpg

Sistine Chapel yake ilipaswa kuwa Jiwe Kuu la Wapanda farasi kwa Duke wa Milan. Leonardo Alipatiwa kazi ya kutengeneza sanamu kubwa ya farasi kama aliyopatiwa Michelangelo, alitumia muda mrefu kuweka mambo sawa lakini bahati mbaya vifaa vya chuma kwaajili ya kumuunda farasi huyo vilichukuliwa na duke wa Milan kwaajili ya kutengeneza silaha za vita. ili wapambane na Wafaransa.

taking-a-break.jpg
Mfano wa udongo wa farasi huyo aliyeandaliwa na Leonardo ulisimama kwa miaka hadi ulipoharibiwa na wafaransa baada ya kuiteka ardhi ile. Alishindwa kuisimamia tena ile project na kufariki, bahati nzuri michoro yake ilitunzwa na miaka ya 90 (miaka 500 baadae) kuna mtaalam alifanikiwa kuisimamia project hiyo hadi kwisha. Huyo ndiye farasi Michelangelo alikuwa akizungumzia baada ya kuambiwa na Leonardo awasaidie kufafanua kitu (hadithi ya Codice Magliabecchiano).
 
Ni mpenzi wa sanaa au watu mashuhuri waliowahi kuishi na kufanya mambo makubwa hapo zamani? kama ndivyo jina la Leonardo Da Vinci na Michelangelo si mageni kwako.

Sikumoja Leonardo alikuwa na Rafiki yake Giovana di Gavina. Walikuwa wanapita maeneo Fulani ya bank ya Spain karibu na kanisa la Trinita, watu mashuhuri kadhaa walikuwa wamekusanyika huku wakijadili mambo Fulani Fulani kama ilivyo kawaida ya wazee wa kazi (wanafalsafa na watu makini). Ubishi ukanoga wakamwita Leonardo awatatulie mambo kadhaa waliyojadili.

Wakati huo huo Michelangelo alikuwa anapita, Leonardo alisema: "Michelangelo ataweza kutuambia maana yake em tumuachie nafasi." Michelangelo, alidhani wamesema hivyo ili wamuingize mtegoni,

alijibu:

"Hapana, eleza mwenyewe (huku akimlenga Leonardo), Mzee wa sanamu na kazi zisizoisha, unajiona kama nani sijui. Umeunda sanamu na haujaimaliza na ndomana umeacha hiyo kazi kwa aibu kubwa. Na kuamua kuwapa kisogo na kuondoka. Leonardo alikaa kimya na kutabasam baada ya kuambiwa maneno hayo " (alinukuliwa katika The Notebooks of Leonardo da Vinci, Oxford University Press, 1952, trans. Irma A. Richter, p. 356) Tuendelee na utajua mkasa wa sanamu lisiloisha ulikuwaje.

Hii ilimfanya Michelangelo kuonekana mwenye wivu. Kwamaana alionekana mwenye hasira kwa Leonardo. Hasira zisizokuwa na sababu, msanii langa alisema ‘CHUKI KAMA SIGARA, NEVER DID NEVER WILL’ Lakini hadithi hii haisemi kwanini Leonardo alimwuliza Michelangelo aelezee maandishi yale na alimuuliza kwa tone ipi . Labda ilikuwa ya kuchochea kitu fulani, labda ilionekana kama kejeli. Inawezekana labda Leonardo hakumpenda Michelangelo lakini chuki ya Michelangelo kwa Leonardo ilionekana Dhahiri na aliitoa bila kificho kwa siku hiyo mbele ya umma wa mtume Mohamad.

Kwanini tunasema ni wivu, kwasababu Michelangelo alizaliwa na kumkuta Leonardo akiwa na shughuli zake, maarufu na anayesifiwa na kila mtu. Da vinci alikuwa mtangazaji, mwanasayansi, mchoraji na mambo mengine mengi yanayosababisha hadi leo hii kuwa mtu namba moja mwenye vipaji vingi na aliyeweza kuvisimamia vipawa vyake kwenye kila kazi aliyofanya.

Kazi za Langelo zote ni kama marudio tu kwa Leonardo kwa lugha rahisi tunaweza kusema hata alimuinspire. Leonardo alikuwa ameshafanya kazi nyingi sana, wakati Michelangelo alikuwa na kazi ya Sistine iliyochorwa juu ya jengo huko Vatican

View attachment 1691032 alhamdulilah hii kazi ina historia ndefu na haikuwa ya mchezo, Sanamu ya David mfalme Daudi baada ya kucheza na kubaki bila nguo, sanamu ya Musa na Pietà sanamu ya huruma inayomwonyesha Yesu akiwa amemlalia Mariam baada ya kusulubiwa msalabani… ni kazi nzuri lakini zinaweza kulipwa na kazi mbili tu za Leonardo (MONALISA au LAST SUPER).

View attachment 1691033View attachment 1691034View attachment 1691035

Picha ya MonaLisa sio kubwa, ni saizi ya kioo kidogo cha chumbani. Leonardo alifanya kazi ya kuichora kwa miaka minne na bado hakuimaliza, japo ukiitazama utasema imeisha.

Ah, lakini saizi ya kazi ya sanaa haipaswi kujaliwa sana, kwasababu wanasema: picha nyingi kubwa ni ndogo kiumbo.

View attachment 1691039
Karamu ya Mwisho (LAST SUPPER) ni kubwa-460 × 880 cm. Leonardo alitumia miaka sita kuichora kabla ya kukata tamaa kwa sababu hakuweza kupata kichwa sahihi cha Kristo (Tutamzungumzia Casare Borgia siku moja kama walivyomzungumzia na Machiaveli kwenye THE PRINCE). Alichora mchoro baada ya mchoro na alitumia siku nzima kutazama ukutani. Lakini karamu ya mwisho (LAST SUPPER) ni picha bora hadi leo hii.

View attachment 1691040

Sistine Chapel yake ilipaswa kuwa Jiwe Kuu la Wapanda farasi kwa Duke wa Milan. Leonardo Alipatiwa kazi ya kutengeneza sanamu kubwa ya farasi kama aliyopatiwa Michelangelo, alitumia muda mrefu kuweka mambo sawa lakini bahati mbaya vifaa vya chuma kwaajili ya kumuunda farasi huyo vilichukuliwa na duke wa Milan kwaajili ya kutengeneza silaha za vita. ili wapambane na Wafaransa.

Mfano wa udongo wa farasi huyo aliyeandaliwa na Leonardo ulisimama kwa miaka hadi ulipoharibiwa na wafaransa baada ya kuiteka ardhi ile. Alishindwa kuisimamia tena ile project na kufariki, bahati nzuri michoro yake ilitunzwa na miaka ya 90 (miaka 500 baadae) kuna mtaalam alifanikiwa kuisimamia project hiyo hadi kwisha. Huyo ndiye farasi Michelangelo alikuwa akizungumzia baada ya kuambiwa na Leonardo awasaidie kufafanua kitu (hadithi ya Codice Magliabecchiano).
 
Leonardo Da Vinci alikua miongoni mwa watu waliokua katika nyadhifa ya juu sana katika waumini wa Priory Of Sion, ni secret society ambayo inaamini tofauti na dini ya kikristu.

Na alikua "MHIFADHI WA SIRI YA HISTORIA" ya kikombe cha yesu (The Chalice au The Cup Of Christ), kikombe ambacho wengi wanaamini Yesu alitumia kuwapa divai wenzake katika chakula cha mwisho, kikombe ambacho mpaka leo kuna watu wanakitafuta.

Siri hii aliiweka katika michoro yake kwa mafumbo, michoro ya siri hii ipo katika hizo picha mbili alizoziweka ndugu mwandishi wa thread hii (Picha ya Mona Lissa na The Last Supper).

Kwa leo, nielezee picha moja tu ya The Last Supper.

Katika picha ya The Last Supper, Leonardo Da Vinci ni kama anawapigia kelele watazamaji waelewe kwamba Yesu na Mary Magdalene ni mtu na mke wake (Yaani Yesu alikua katika mahusiano na Mary Magdalene) na za kikombe cha yesu.

Ishara zipi ametumia katika hio picha?

NOTE: Yesu na Mary Magdalene ni kama kioo kwa kila kitu baina yao, nguo walizovaa ni sare. Pia, Yesu amevaa ROBE YA RANGI NYEKUNDU na CLOAK YA RANGI YA BLUU, kwa upande wa Mary Magdalene amevaa ROBE YA RANGI YA BLUU na CLOAK YA RANGI NYEKUNDU (Yin and Yang - Balance Of Nature Between Feminism & Masculinism).

Mkao wao katika maeneo ya kiuno umekaa muundo wa herufi M (Matrimonio). Kiufupi, picha hio inaashiria kwamba Yesu alikua ameshaoa, tofauti na biblia ya agano jipya inavyosema.

Yesu alikua ni Jew, na kutokana na mila za Jews kwa umri ule Yesu alipaswa kuwa ameoa mke, na si ruhusa kwake kuwa bachela. Na kama angekua bachela basi kungekua na hata gospel moja katika biblia ilio na mashiko ya kuthibitisha sababu za uwepo wake wa kuwa bachela kukinzana na mila za kabila lao.

Jambo la pili, katika picha hio, ukiangalia vizuri; Yesu na wenzake walikua wanakula mkate, hakuna shaka... Pia walikua wakinywa divai, hakuna shaka kwa hilo pia, ila shaka inakuja kama utaangalia vizuri hapakua na Kikombe kimoja (The Cup Of Jesus au The Chalice) tu cha Yesu alichotumia kuwanywesha wenzake.

Ukihesabu vikombe vya divai kwa umakini jumla vipo vikombe 13 vidogo na ni vya kioo. Jambo ambalo linaashiria kuwa The Cup Of Jesus, kwa wengine wanaita The Chalice, ni theory ya kutungwa na vatican.

- Ni mambo ambayo yana mvutano mkali sana kati ya Roman Catholic Church na itikadi nyingine za kidini (Hasa wayahudi na Priory Of Sion).

- Maelezo hayo na arguments hizo si zangu binafsi. Ni arguments za wana historia na waumini wasomi. Mimi nimefafanua tafsiri ya picha aliochora Leonardo Da Vinci ya The Last Supper kwa ufupi sana siri alizoweka katika michoro yake.

Ipo siku ntaanzisha thread kuelezea vizuri picha za Leonardo Da Vinci, jinsi picha zinavyo kinzana na propaganda za Vatican. Na kuondolewa kwa Biblia Agano La Kale then kuanzishwa kwa Biblia Agano Jipya.
 
Mkuu una uhakika kwamba Agano la kale liliondolewa likaletwa agano jipya?
Unafahamu kuwa Agano la kale linazungumzia maisha kabla ya kuja kwa Yesu Kristo na Agano jipya linazungumzia maisha baada ya kuzaliwa na kufa kwa Yesu Kristo? Watu wengi wanachanganywa na maneno Agano la kale na Agano jipya wakidhani Agano jipya ni Agano la kale lililoboreshwa, si kweli ni vitu viwili tofauti kabisa. Linaitwa Agano jipya kwakuwa katika Ukristo tunaamini baada ya kuja kwa Masihi Yesu Kristo maisha ya mwanadamu yalifanywa upya, mambo yalibadilika. Tujitahidi kusoma na kujifunza kabla ya kuandika ili tusiwapotoshe wengine.
 
Back
Top Bottom