Fahamu utajiri kwenye biashara ya fedha za kigeni (FOREX TRADING)

Yani bureau de change nyingne bei zinatofautiana yani leo nimeenda kubadili rand 3400,unakuta huyu anachange kwa 170,mwngne kwa 180,lakini fresh tu .tutapata hiyo hiyo faida..(3400x180=612000)....N.B nimenunua toka mwezi wa 3.ikiwa tsh 150
Mkuu hii kitu navozidi kuisoma nachanganya concept naomba kueleweshwa wewe izo rand ulinunuaje? Nataman sana kuijua hii kitu kiundani ikiwezekana nijiunge kapisa, pls assist on that
 
Yani bureau de change nyingne bei zinatofautiana yani leo nimeenda kubadili rand 3400,unakuta huyu anachange kwa 170,mwngne kwa 180,lakini fresh tu .tutapata hiyo hiyo faida..(3400x180=612000)....N.B nimenunua toka mwezi wa 3.ikiwa tsh 150

Faida yako hapo ni 30pips (180-150) ambayo uki convert to tsh inakuwa 30x3400=102000
 
Take care, mwisho wa siku utakuja onekana tapeli.
Usiwaamijishe watu kiasi hiki,
 
Ivi hiii kitu ni nzur kufanya online kwa kutumia simu au laptop ama ninzur kwa physically unaenda direct kununua na kuuza
 
Ivi hiii kitu ni nzur kufanya online kwa kutumia simu au laptop ama ninzur kwa physically unaenda direct kununua na kuuza
Ni vyema ukatumia mtandao
- Waweza kutumia Simu au Laptop
- Iwapo utatumia simu kuna baadhi ya vitu hutoweza kufanya hasa katia technical analysis na pia iwapo utahitaji ku add EA kwenye platform unayotumia.
 
Bavaria ni huyohuyo Ontario?
 
Naona maelezo haya na ya ndugu ontario yanapishana sana. Au kwa vile muda umeshapita. Kusubiri miezi 6 si kazi ndogo
 
Naona maelezo haya na ya ndugu ontario yanapishana sana. Au kwa vile muda umeshapita. Kusubiri miezi 6 si kazi ndogo
ww unasubiri?wenzako wanasoma vitabu na kugonga training,wanapiga busness saiv.
 
Ni vyema ukatumia mtandao
- Waweza kutumia Simu au Laptop
- Iwapo utatumia simu kuna baadhi ya vitu hutoweza kufanya hasa katia technical analysis na pia iwapo utahitaji ku add EA kwenye platform unayotumia.
EA ni kitu gani mkuu maanaa ndo kwanza naanza anza soma vitabu saiz
 
Shukrani sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…