FAHAMU: Vyuo vya Afya vyenye ushindani ktk ku'Appply ili baadae usije kuilaumu NACTE usipochaguliwa

Evans-Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2016
Posts
868
Reaction score
1,385
Kuna wanafunzi ambao wanaapply vyuo kwa sasa kwa upande wa afya kwa kuweka machaguo yao, lakini wengine kutokana na kutaka kwenda vyuo vikubwa wanajaza tu bila kuangalia ufaulu wao.
Angalia mfano wa jumla ya wanafunzi walioappy katika hivi vyuo vya afya kwa mwaka jana 2016 sasa ujilinganishe maana vyuo vingi vinachukua wanafunzi sio zaidi ya 250 lakini wanaoapply ni zaidi ya 1500 etc
 
kuna wanafunzi wa nursing two walikuja field hawajui hata kuchoma sindano, kuna vyuo bomu kbs😡😡😡
 
Hvyo ni baadhi angalia hapo kama hakipo ujue competition sio sana hapo kwa ninavyoona mie
Mkuu vipi naona katika guidebook ya mwaka huu Maths D imeweka katika qualification za afya kuanzia certificate.. Wamesema walau d tano including wakaweka na math VP kwa walio na F- maths
 
Mkuu vipi naona katika guidebook ya mwaka huu Maths D imeweka katika qualification za afya kuanzia certificate.. Wamesema walau d tano including wakaweka na math VP kwa walio na F- maths

Naona wanahitaji kurisiti ili wazipate
 
Wakuu hakuna hata kachuo ka kiboya naeza soma afya koz yoyote isyolazmisha biology? Sjasoma biology mwenzenu na nahitaj kusoma koz ya afya
 
kuna wanafunzi wa nursing two walikuja field hawajui hata kuchoma sindano, kuna vyuo bomu kbs😡😡😡
Uko sahihi mkuu vyuo km hvo vipo
Kuna chuo kinaitwa CITY COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE kipo dar es salaam temeke mkabala na chuo cha bandali hiki chuo hakina dispensary wala duka la madawa
Ada yao ni kubwa sana mazingira sio rafiki kwa kusomo medicine issues. Wanafunzi wa clinical medicine walipelekwa field week 1tu na wamelipa 150k ya field na ndo hvo hvo walienda hawajui kuchoma hata sindano wala surgical suture hawaijui
 
Wakuu hakuna hata kachuo ka kiboya naeza soma afya koz yoyote isyolazmisha biology? Sjasoma biology mwenzenu na nahitaj kusoma koz ya afya
Biology ina deal na afya 100%
Huwez soma koz za afya na hujasoma biology
 
Tatizo ni kuwa hata wenye sifa za kwenda form V hawaendi wanataka vyuo ndio maana ushindani unakuwa hivyo!
 
Mkuu kibaha cotc inasifa gani za ziada maana Naona vijana wengi wamekiomba
1. Kpo karbu na town nje kdogo ya Dsm..

2. Kuna hosptal ya TUMBI ambayo ndo wanafunzi wanapga mafunzo yao hapo hapo chuo..

3. Wanafunzi wengi wanaokimbia ushndani Muhimbili na Lugalo ambavyo ndo vyuo viwili tu pekee mkoa wa Dsm ndo wanaamua kuomba hapo Kibaha so watu ni wengi jumlisha na form 6 leavers waliofeli wanakuja kuomba hapo tena so ni nyomi..
 
B+B+B PCB math B+ kwa Matokeo Hayo kuna uwezekano
 
Hapo dogo nakuakikishia 80% unaweza ukapata kabsa ufaulu wako upo vzuri sio kama wengine wana marks za CCD na D zao za Maths na wenyewe wanaweka kibaha sehemu zenye competition kubwa
Pamoja Mkuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…