Fahamu watu wanaotumwa na Ali Kiba kumshambulia Diamond

Asubuhi yote hii unaandika Uzi mrefu namna hii kuhusu Ali kiba na diamond... Unemployment magnitude in this country is very high
Ukikosa ajira wewe usiseme watu wote hawana ajira, ukikosa pesa sema wewe hauna pesa usijumuishe watu wote
 
Majungu na fitnaa hukaa masikioni kwa muda.....mziki mzuri hudumu.

Hao wote ulowataja plus simba wafanye kazi wafanye music...

Nadhani itawasaidia kuliko hizo porojo za shilawadu
Nadhani watasoma ushauri wako mkuu
 
Mapovu umepayuka tu hauna logic ni chuki na ushabiki... waliosema Diamond ni mswahili sikuwaelewa wanamaanisha nini ila jana nimeangalia interview yake nimewaelewa point yao
 
Dah, vijana tunaelekea wapi? Yaani hata kama umeajiriwa na hizi timu kuja kumtetea mtu humu na ukaacha kazi zako muhimu, hizo ni dalili za kukosa kazi na zinatia shaka kama mleta huu uzi ni mwanaume. Hivi ushawahi kukerwa kiasi gani na matatizo ya familia yako au ukoo wenu kupita matatizo ya umaarufu wa Mondi na Kiba?. Tubadilike jamani mbona mambo ya kijamii ni Mengi sana si bora hata ukajitolee kufanya kazi ya usafi ktk hospital kuliko kutumia muda mwingi kutetea watu ambao tayari hizo beef zinawapa maisha.
 
halafu nimegundua kitu kutoka kwa ommy kuna uwezekano kabisa si ridhiki..
kwanini ang'ang'anie kufatana na diamond everywhere?
akiachwa analalamika kama mwanammke?
halafu mwanamme mwenzie anamwita D...

hapa ndipo nnaponukuu kauli ya diamond
"Mwanaume kumchukia mwanaume mwenzio kisa kakataa kukupumulia ni kokoro"
dimpoz ameonyesha kusikitishwa na kutokua na mahusiano mazuri na diamond..
sasa mwanaume unaenda kulia lia kwenye interview kuwa tumekosana kwa7bu D alipunguza ukaribu..
nilitaka niongozane nae akanitafutie collabo..
Jamani hizi si tabia zetu wanawake...
kuongozana na baby akakutafutie simu nzuri[emoji23][emoji23]!!!!
na kauli ya diamond ilitoka siku 2 kabla ya interview ya ommy!!
halafu ommy akaenda kulalamika kapotezewa[emoji23][emoji23][emoji23]..

ngoja nipigie mstari
 
we una mafanikio gani adi unadiscuss watu huyo tiffah unaemsema anakuzid ataa we helaa sasaa POVU la nn....?? usiwe WEAK MIND kwa kujadili maishaa ya watu bhanaa tengeneza lyf lako wakutangaze..!!

ONE LOVE
 
Kuna tofauti gani kati ya Instagram na jamii forum???
Mm nadhani tuwe tunaagalia na muktadha hayo mambo ya timu zisizokuwa hata na uwanja mm kwa upande wangu hata sioni haja ya ku- time yako unajadiri maisha ya vijana kama ww ambao hata hawakujui kama upo
Huo ni upunguani fikiria upya nadhani kuna kitu kinakosekana aidha kwenye kichwa chako au kwenye malezi yako.
 
Yaani kwenye hiyo list ya wanaomtetea Diamond na wew Ungekuwepo Ingependeza zaidi
 
Point
 
Uzuzu wetu Wabongo hatujui maana ya team, Faida za utimu, Hasara za utimu n.k

Ndio maana Simba wakicheza na Libolo ya Angola Yanga wataishangilia Libolo, Yanga wakicheza na Zamareki ya Misri Simba wataishabikia Zamareki.

Ali Kiba akiwa nominated na wasanii wa nje team Chibu wanampigia kura msanii mwingine wa nje.

Diamond pia akiwa nominated mashabiki wa Kiba ndo kabisaaa.

HALAFU MKIRUDI KWENYE JUKWAA LA SIASA MNALAUMU WAWEKEZAJI WANAPEWA KIPAUMBELE KULIKO WAZAWA.

LET US FIGHT FOR OUR SUCCESS FOR THE PRESTIGE OF OUR CONTRY.
 
Kibaya zaidi mama hajakanusha kapiga kimyaa kwamba anapenda vijana [emoji3] [emoji3] maana yule mama kwa kulipuka wee aah hajambo, utadhani wasanii woote hawajazaliwa na mama except Diamond
 
Ummy hatujui dem wke na hata marafiki hawajui shem wao,ila wanajua bwana yke aliempangia nyumba.hata ajiteteee vipi dalili zote za kupumuliwa anazo
Na wewe umeacha kwani? Nasikia umejipaka mavi kwa ajili ya kupangiwa zamu ya umbea
 
Nimefuatilia muda mrefu kwenye media na baada ya hapo ndio nimetoa mawazo huru
Hivi haya ni Mawazo huru au Mawazo chonganishi? Umekuja kuwachonganisha watu jf kwa kuwataja na majina huku wewe ukijiita mwana Mawazo huru [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] uso umeumbwa na haya lazima uone aibu kuwachonganisha watu nilidhani ungekuja na maoni ya kuleta amani kumbe umeleta shutuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…