Fahamu watu wanaotumwa na Ali Kiba kumshambulia Diamond

Omary Nyembo katili kile kibibi anakipiga chuma mboga
 
mambo ya timu sijui nini huo ni upungufu wa akili...timu zipo za mpira na michezo mingine sielewi hizi timu za muziki zinatoka wapi...laiti kama mngejua kuna msanii anaitwa Darasa anaimba vitu vya maana mngeachana na timu zenu uchwara...sikilizeni mziki achaneni na ujinga wa timu.
 
ungekuwa unaongea hivi insta ningekuona wa maana,kumbe ni team ya mondi jf,nasa wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…