huo unaitwa vitiligo inasemekana unatokana mwili kujishambulia (autoimmune). wanatibu kwa kukumulika na mwanga maalum.
Kwa hapa nchini sijajua sehemu unaweza pata hii huduma jaribu hospitali kubwa kama trauma centre.Nakushukuru sana chief! Naweza kupata hiyo huduma?
kwa hapa nchini sijajua sehemu unaweza pata hii huduma jaribu hospitali kubwa kama trauma centre.
Ni aina ya ugonjwa ambao husababisha ngozi ya mwili kushindwa kutengeneza Melanin ambayo ni mahususi kwa rangi ya ngozi na kufanya ngozi yako iwe na madoti meupe meupe au kuwa nyeupe kabisa.Huu nao ni ugonjwa gani! Na dalili zake ni zipi?
habari zenu..mama angu anaumwa ugonjwa wa vitiligo.mwenye kujua dawa anisaidie hata ya kienyeji..
Hamna tiba ya kuponesha kabisa Vitiligo ila matibabu yake hulenga kwenye kuimarisha rangi ya mwili na km sababu yake ikigundulika ndiyo hutibiwa kulingana na tatizo lililogundulika.
ndugu zangu,nisaidien anayejua dawa ya ugonjwa wa vitiligo,hata ya kienyeji plzz
Hamna jina jingine mkuu?maana naona nyotanyota.Au weka kapicha inawezekana kwetu ni jina jingine niambie fasta nikuambie dawa ya kienyeji endapo nitaufahamu ugonjwa.Pole sana mkuu.
Hamna jina jingine mkuu?maana naona nyotanyota.Au weka kapicha inawezekana kwetu ni jina jingine niambie fasta nikuambie dawa ya kienyeji endapo nitaufahamu ugonjwa.Pole sana mkuu.