Fahamu zaidi kuhusu la ugonjwa wa Vitiligo na tiba yake

Wewe ni mweupe lakini kuna madoadoa meupe zaidi yanatokea kwenye ngozi yako? Ok, kwa kuanzia, kuna tatizo la ngozi linaloitwa 'vitiligo', hebu google hilo neno kwanza ili ujue uko sehemu ipi maana kuna aina nyingi za vitiligo, baada ya hapo utuambie hiyo vitiligo yako ni aina ipi kati ya hizo ulizoona. Na kama sio tatizo la vitiligo pia useme ili nijue pa kuanzia
 
Wakuu anayefahamu dawa ya psuado vitiligo maana kuna demu anao sehemu nyeti
Hivi hawezi kuniambukiza?

No,It is not sexually transmitted disease ,pia hauambukizi hata kwa kugusana na Mtu ambaye ana huo ugonjwa.

Njia pekee ambayo Mtu anaweza kupata ni genetically .That is to say ,watoto ambao wamezaliwa kutoka kwa wazazi wenye huo ugonjwa are more likely to suffer from vitiligo.


The exact cause of vitiligo is UNKNOWN .
 
Hivi mkuu ,Mzizi mkavu Ginkgo biloba original zinapatikana wapi?
 
nitakuja baadae kwa mchango,hope nitakushauri vema.Tiba kuu huwa ni kutumia dawa ambazo zita discourage menalocytes distruction,maana mwili hutengeneza antibodies ambazo huharibu melanocytes ambazo kazi yake ni hutengeneza malanil inayoipatia ngozi yako rangi.I will be back baadae..
 
Niliaahidi kurudi baadae.....ok
Dawa za kutumia kupunguza ukali wa tatizo,Mometasone cream 0.1% au Tacrolimus 0.1% au melanin cream 0.1%, unapaka mara moja kwa siku maeneo ambayo yanashida,kaa juani baada ya kujipaka kwa muda wa dakika 15,unapaka mfululizo kwa muda wa siku 15,pumzika siku 15 kisha endelea tena kwa siku 15,unakuwa unafuata utaratibu huo,tiba yake ni ya muda mrefu sana hata miaka kadhaa kulingana na ukubwa wa tatizo. Na nyingine amabayo India walijaribu kuitumia ni Ginkgobiloba 40mg mara mbili kwa siku kwa muda usiopungua miezi mitatu.
Wengine watapita kujazia nyama.
 
Natural herbs kwa hapa tz zinapatikana, mathalani dar!
 
Huyo Yesu angekuwepo kweli magonjwa yote yasingekuwepo na wagonjwa wote wanaotaabika wangeponaa
 
Habari wapendwa Mimi Nina tatizo la vitiligo(mbaraga) nitumie nn jamani nisaidien
 
Kaka nimeanza kushambuliwa na vitiligo nitumie nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…