Fahamu zaidi kuhusu la ugonjwa wa Vitiligo na tiba yake

Dawa ya hayo magojwa ni kujipaka vitunguu swaumu. nilisha tibu watu zaidi ya 10. wenyemagonjwa zaidi ya muonekano wa hizo picha. tafuta kitabu cha Tulejee Edeni kwakuwa mboga na matunda ni dawa, kinachotolewa na kanisa la S.D.A Church (SABATO)
Kaka naomba unielekeze jinsi ya kutibu vitiligo kwa vitunguu saumu
 
Kaka nahitaji dawa ya vitiligo 0742222904
 
Ujumbe mzuri kweli haitibiki. Kinachofanyika kwa sasa ni sawa na chumba chenye harufu mbaya unapopulizia pafyumu huiondoi ile harufu mbaya bali unazidisha kiwango cha harufu nzuri kiwe kikubwa by volume kuliko cha harufu chafu chafu na harufu chafu utaendelea kuivuta kama kawaida.
 
Wachina tena, siwaaamini kabisa.
 
Nina rafiki yangu alitumia hizo dawa na alipona.Kama humjui huwezi ona dalili yoyote. Nimekuwa nae mda mrefu sana alipopata yupo now 98%. Kuyaona mabaka hayo lazima utafute kwa umakini wa hali ya juu
 
Attachments

  • 14.jpg
    12.6 KB · Views: 219

Ninaomba nipingane na wewe. Mimi nilikuwa na hili tatizo na nilipona kabisa. Anayetaka dawa ani pm nimwelekeze. Ni miaka mingi imepita lakini ninaimani kwa Mkono wa Mungu, bado ile dawa ipo.
 
Asante Lateni. Yaani ni huzuni kweli unakufanya ukose raha

Ninajua inavotesa. Hasa pale watu wengine wanaanza kuepuka kukugusa kwa hofu ya kuambukizwa. Hawajui kwamba tatizo hili si la kuambukiza kwa jnisi hiyo.

Lakini dawa ipo. Mimi nilpona.
 
Ninajua inavotesa. Hasa pale watu wengine wanaanza kuepuka kukugusa kwa hofu ya kuambukizwa. Hawajui kwamba tatizo hili si la kuambukiza kwa jnisi hiyo.

Lakini dawa ipo. Mimi nilpona.
Naomba msaada tafadhari nina rafiki yangu mpenzi ameshambuliwa karibu miaka 15 sasa. Please.
 
Ninaomba nipingane na wewe. Mimi nilikuwa na hili tatizo na nilipona kabisa. Anayetaka dawa ani pm nimwelekeze. Ni miaka mingi imepita lakini ninaimani kwa Mkono wa Mungu, bado ile dawa ipo.

unaonaje ungetuelekeza wote maana wapo ndugu na marafiki wanaohitaji msaada
 
Ninajua inavotesa. Hasa pale watu wengine wanaanza kuepuka kukugusa kwa hofu ya kuambukizwa. Hawajui kwamba tatizo hili si la kuambukiza kwa jnisi hiyo.

Lakini dawa ipo. Mimi nilpona.

Weka wazi hiyo dawa ili iwe msaada kwa wahitaji.

Au ndo umetrap ili watu wakufuate PM? Hizo ni inshara za utapeli.

-Kaveli-
 
That thing makes me sick...huwa sipendi kumuona mwenye huo ugonjwa..poleni sana Wahusika
 
Weka wazi hiyo dawa ili iwe msaada kwa wahitaji.

Au ndo umetrap ili watu wakufuate PM? Hizo ni inshara za utapeli.

-Kaveli-

Kama unadhani mimi nafanya biashara ya kuuza dawa, kaa na ugonjwa wako. Unadhani watu niliowaandikia hiyo dawa wakapona walinipa hata shilling moja?

Huna haja ya kuniita tapeli. Ugonjwa wako, halafu unanitukana mimi niliykwisha kupona tena kwa sh. thelathini elf tu. Watu nakutana nao kwenye mikutano na vyombo vya usafiri nawaandikia dawa siwafahamu hawanifahamu. Halafu leo eti kune pm unaona nitakutapeli. Pole .
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…