Fahamu zaidi kuhusu Mr Kuku

Nakusalimu
 
Hahah tangu aseme alikodisha sijui tractor kwa siku 30 na akapata mil 30 kama faida nilijua tu huyu ni tapeli per se.

Ila kuna siku huyu jamaa haya mambo yatakuja kumkalia hovyo watampa kesi za utakatishaji.
Ule ndio ulikuwa uzi wake wa kwanza kabisa humu na ulikuwa mkakati maalumu kuwakamata majuha.. teh teh teh

Ule uzi hata mimi nilitilia mashaka, nikawaza sasa kama ni hivyo wenye matrekta wanakwama wapi kuwa mabilionea..
 
Ni jamaa yako mwenye nyumba yao.
Kwa kifupi ni mshkaji nimesoma nae high school.. Wazazi wake wanaishi makonde chini na mimi naishi Africana karibia na whitesands, hapo kwa wazee wake nishafika sana. Ni mwendo wa dakika 15 tu kwa mguu kutoka ninapoishi
 
Ule ndio ulikuwa uzi wake wa kwanza kabisa humu na ulikuwa mkakati maalumu kuwakamata majuha.. teh teh teh

Ule uzi hata mimi nilitilia mashaka, nikawaza sasa kama ni hivyo wenye matrekta wanakwama wapi kuwa mabilionea..
Sio uzi wake wa kwanza narekebisha.
 
Tunaweza tulahakikishaje jamaayako ni nyumba yao pia??
Kwa kifupi ni mshkaji nimesoma nae high school.. Wazazi wake wanaishi makonde chini na mimi naishi Africana karibia na whitesands, hapo kwa wazee wake nishafika sana. Ni mwendo wa dakika 15 tu kwa mguu kutoka ninapoishi
 
Ilikua inahitaji unabii wowote ule kuona kwamba mr. Kuku ni project ya kitapeli?
Umeulizwa wewe ,au na wewe kimbele front kinakusumbua,that was just a question na wewe kwa ugumu wako wa kuelewa ukaongeza swali
 
Mkuu achana na huyo fala, nashangaa hujashtuka tu. Anaweza kuwa Ontario mwenyewe au Mr.Kuku au ni fala mmoja aliyepigwa mtaji wake kifala Sasa bado ana hasira.
Mkuu mimi ni Mrkuku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…