Fahamu zaidi kuhusu Mr Kuku

Ushajibiwa kuhusu utapeli wa Ontario ,watu kibao waliweka hadi screenshots zake humu za utapeli ,umeambiwa alipost mjengo wa watu akajifanya amemjengea mzazi wake ,mdau akamwambia aondoe ile picha akamblock hadi ushahidi hupo wa screenshots.

Acheni utapeli nyie fanyeni kazi halali watu wanatafuta hela katika mazingira magumu nyie mnakuja kuwatapeli mtakuja kupata laana.
 
Nani kajibu ? wapi?
Mjengo wa watu alipost wapi? wapi alisema ni mjengo wake?? wapi aliandika ni mali yake??
 
Nani kajibu ? wapi?
Mjengo wa watu alipost wapi? wapi alisema ni mjengo wake?? wapi aliandika ni mali yake??
Sawa Mkuu endeleeni na utapeli wenu mtakuja kupata mnachokitafuta na pia mnatapeli watu ambao nao wanawaachieni ila ipo siku mtaingia kwenye 18 za MJITA au MTU WA KANDA MAALUM.
 
Sawa Mkuu endeleeni na utapeli wenu mtakuja kupata mnachokitafuta na pia mnatapeli watu ambao nao wanawaachieni ila ipo siku mtaingia kwenye 18 za MJITA au MTU WA KANDA MAALUM.
Teh teh teh huyu dogo unayejibishana nae aliandikaga humu eti ana Fusso tandamu..

Hivi mkuu kwa akili hizo huyo anamiliki chochote kweli?? Mtu anashindania laki moja mitandaoni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Teh teh teh huyu dogo unayejibishana nae aliandikaga humu eti ana Fusso tandamu..

Hivi mkuu kwa akili hizo huyo anamiliki chochote kweli?? Mtu anashindania laki moja mitandaoni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hahahaaa hapo alikuwa anatafuta watu wa kuwapiga huyu jamaa ni ONTARIO usikute hata wale aliowapa laki laki wote ni accounts zake mwenyewe!! Lile shindano ni la kuwajaza watu wazidi kumuona yupo njema kifedha ili akiweka semina zake MABUMUNDA yaingie King.

Hahahaa ana Fuso halafu anagombania laki maajabu hayo.
 
Teh teh teh teh kuna watu akili huwa sijui wanashikiwaga na nani..

Na nadhani hao aliowapa fedha hakuna hata mmoja ambaye kule Twitter ana ka umaarufu, wote watakuwa ni watu walewale anaofanya nao misheni zile zile..
 
Kwa hawa maboya mnapoteza nguvu wakuu
 
Unajua soko la wenye kiu ya kutapeliwa ni kubwa. Utapeli hautakaa ukaisha kama wenye nyota ya kutapeliwa wapo!! HAKUNA MTU WA KUKUZALISHIA FEDHA.
 
Asante sana mkuu....kwa hoja zangu mwenye kuelewa kaelewa.
 
Kuku ilikuwa zugia tu. But alichokuwa anafanya ni DECI tu. Anawazungushia pesa yao wenyewe.
Kuku ilikuwa kwa ajili ya kuwaaminisha wateja wake[emoji28] Ukikaribishwa ukaona kuku tele unatoa mpunga
 
.
If it's too good to be true, it's probably is.
 
Ushirika haujawahi kufanikiwa Tanzania.Unachukua hela zako unampelekea mwanamme mwenzako kienyeji enyeji tu.mnawazaje?
 
Biashara Kama za ya Mr kuku zipo nyingi sana mf. Salvation farm,weku na no wote wanafanya the same thing
 
Haya Haya Kunekucha Sasa Hivi
Asiye Na Mwana Aeleke Jiwe....m

Kusikia Kwa Kenge Hadi Atoke Damu Puani Na Masikioni
Baadaye Tutona Msululu Wa Malalamika Haa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…