Fahari huduma

JUKWE

Member
Joined
Oct 4, 2011
Posts
20
Reaction score
6
Wadau mi ni mteja wa crdb kila nikipita naona mawakala wa fahari huduma,ila sijawahi kupata huduma yoyote kwa kupitia hao mawakala wa crdb,naomba uzoefu wenu kama kuna mtu alipata huduma kupitia hao mawakala kuhusu safety ya kubank kupitia kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…