Fahari Investment: Changamkia fursa kwa shilingi 3000 tu

Chanzo cha pesa kwenye hyo kampuni yako ni Nini?
 
ANADHANI TUTAINGIA HIVI HIVI TU
 
Utaokota watu wako kadhaa sibure...ila utapeli sio biashara. Ingekuwa rahisi kihivyo ungeshakuwa tajiri wewe na ukoo wako kwanza...wengine tungekuomba utuunge nasio wewe kutuomba tujiunge!!
 
Mkuu hii ni kama unavyosikia hawa forever, na makampuni mengine Ila huku hakuna kununua bidhaa Ila unafaidika pale unapowashirikisha wenzako kiingilio ni kuanzia sh. 3000 ukishatoa hiyo basi hakuna charge zingine
Acha kuibia wananzengo,utalaaniwa
 
Facebook ungepata watu sio huku jamii forum ukiona mtu anatumia jamii forum mpe respect he/she is not stupid
 
Hyo uliyopewa wewe maana yake wameliwa wenzako ukapewa wewe.
Hivyo vitu havijaanza leo labda wewe ndio mgeni wa hayo mambo.
Hiyo chain huwa inakwendaa then badae wanakuja kulia watu
 
Utaokota watu wako kadhaa sibure...ila utapeli sio biashara. Ingekuwa rahisi kihivyo ungeshakuwa tajiri wewe na ukoo wako kwanza...wengine tungekuomba utuunge nasio wewe kutuomba tujiunge!!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Application of Logical statements!
 
Haya dakika ya 80 hiyo mabao ni bila kwa bila...Si tapeli wala mtapeliwa ambae kashaona lango la mwenzake......Mwalimu Kashasha, unaizungumziaje hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…