Fahari ya mwanaume

Fahari ya mwanaume

Dr Lizzy

Platinum Member
Joined
May 25, 2009
Posts
31,009
Reaction score
60,629
Fahari wa mzazi = mtoto
Fahari wa mke = mume
Fahari na mume =mke
Fahari ya mwalimu =mwanafunzi
Fahari ya mwenye nyumba =nyumba
N.k

Hamna kitu kizuri kama mtu kuwa na kitu ambacho kinampa ufahari. Na ukiwa nacho hutoacha kuki'show off'. Sadly, familia nyingi kwenye jamii yetu zina wanaume wasioona fahari kuwa na wake walio nao, wakati mwingine hata watoto kwahiyo kuwa'show off' ni nje kabisa ya matakwa yao.

Juzi kati kuna mkaka alirudi nyumbani kwake usiku akaanza kugombana na mke wake (heeey I couldn't help it. Huku uswahilini hatuna ceilingbord wala madirisha, your business is everyones bussines). Nwy baadae jamaa akawa analalamika kwamba mwanamke wake ana kauli chafu, kila akirudi anapokelewa na makelele. Which made me think, wanawake (sio wote wala sisemi wengi) huwa wanalalamika waume zao kuchelewa nyumbani, kutopenda kuongozana nao, kutokuwa karibu na watoto na mengineyo bila kujali wala kufikiria ni kwa kiasi gani wao wame/wanachangia hali hiyo.

Wanaume huwa wanaona fahari (sifa) kuongozana na wenzi wao pia kuwatambulisha wakiwa wamependeza. Wanaona sifa kukaribisha wageni/marafiki zao kwenye nyumba iliyopangiliwa vyema, kwa mke asiye na gubu hata kwa wageni, kwa mke anaeweza kuwakaribisha chakula wakakifurahia badala ya kudanganya wameshiba,kwa watoto wanaobebeka (sio mtoto ananuka mkojo muda wote na makamasi/udenda unatiririka kama chemchem) n.k

Mwanamke anatakiwa amsaidie mwanaume wake kuona na kupata fahari kwa kuwa na mkewe huyo, familia, nyumbani n.k

1.Jua kupendeza badala ya kuchekesha. Mfanye mwanaume wako apende na afurahie kuongozana/kuonekana na wewe bila woga wala aibu. Sio mtu tumbo ni kubwa kuliko kiwiliwili cha chini lakini bado unavaa nguo za kubana na kuchora mpaka wanaokuangalia wanakuonea aibu, mumeo ataona nini? Uso umepambwa kama xmass tree nani aonekane na wewe achekwe?

2.Jitahidi kuwa na kauli nzuri ili ukaribishe watu(including mumeo) badala ya kufukuza. Mwanamke ukiwa na kauli mbovu na kuropoka hovyo mwanaume hatoona fahari kukaribisha wageni nyumbani wavutiwe mdomo,wanuniwe na kuropokewa mpaka watamani kuondoka wala hatoshawishika kuwahi kurudi nyumbani.

3.Kuwa msafi. Usafi wa nyumba unamvutia mtu kuwa nyumbani, usafi wa mwili unamvutia mtu kuwa karibu na wewe. Ukishidwa kutofautisha nyumbani na kiwanda cha karatasi kwa hewa nzito/dampo kwa mvurugiko hamu ya kuwepo nyumbani inapungua.

4.Angalia Watoto wako vizuri.
Kuna watoto bwana hata kama unapenda watoto namna gani huwezi kuwabeba. Utaishia kumuongelesha tu na kumshika mashavu. Usiache mtoto aonekane mchafu mchafu kila wakati.

5.Jitahidi kwenye maswala ya UPISHI. Sio lazima uwe mtaalam sana, jifunze kiasi cha kuwafanya watu wafurahie chakula chako. Badala ya mwanaume kurudi ameshiba kila mara, hata akila nje ya nyumbani bado awe na hamu ya kula/kuonja chakula cha mkewe. Na badala ya kwenda kukutana na marafiki zake kwenye nyama choma/supu za mtaani awakaribishe nyumbani kwa chakula.

Mwisho kabisa msisahau UKARIMU. Usiwe mchoyo, usiwe mroho.
 
It is a beautiful feeling being a good wife.

But hell hath no fury like a woman scorned.

When she makes that 360 degree turn, hell breaks loose.

Believe me no unhappy woman makes a beautiful home.
 
WANAUME HAWANA SHUKRANI! SHUKRAI YAO YA KWAPA, HATA UKIOGA ULIPULIZE PAFYUMU, UPAKE DEODORANT NA BODY SPRAY LIPE DAKIKA 3 TU LIMEFUMU!!!!!!!!!!!! Hawabbeki kama zigo la miba!

Mimi kuna mwnaume mmoja tulikuwa tunafanya nae kazi zamani, saivi hana kazi, hana biashara, yupo u mjini anafugwa na mkewe (alitumia akili kuoa mambo safi). Kula, kulala. Sasa kukutana ananidai mzigo niliomzingua 3 yrs back, anadai twende Zenji kujipumzisha hapo bank card ya mkewe ndo itatumika! Nikamwambia mimi nipo Kwaresma sina mda mchafu wa kuzini kwa mkopo.

Shukrani ya WANAUME tuulize sie ndo tunaiona ona walau kidogo ila wenye mali zao mmmmmmmmh!!!!!!!!!!!!!

GIRLS JUST LIVE YOUR LIFE AND MAKE YOURSELVES HAPPY! Ukiingoja fahari ya mwanaume UTASUBIRI SANAAAAAAAAAAA! Miaka 10000000000000000000 na usiione. Labda akikupiga Free........ ndo anaona fahari yako baaaaaaaaaaaaaaaaasss!. (Perdon my lack of manners and STATING THE OBVIOUS!!!!!!! Calling a SPADE what it actually is A SPADE )
 
@ Lara 1 usiwahukumu wanaume wote Kwa kosa la mtu 1 asiyejua thamani ya mke/mwanamke. Still kuna good men out there bt hamjaonana tu.
 
True, true.

Mwisho wa siku kila mtu anatakiwa ajitahidi kuwa mzuri kwa mwenzie ili mwenzie nae awe mzuri kwake.
 
Kuna watu bana ndo maana hawajaolewa hadi leo
 
Lizzy achatu nikusifie, wewe ni mke bora sana na naamini wengi kama sio wote tunapenda wife wa aina hii..
I wish I was utafiti , siunajua mganga hajigangi.

lara 1 true said. Kuna watu na watu, wengine hata wapewe nini utulivu na appreciation ni ZERO.
 
Last edited by a moderator:
WANAUME HAWANA SHUKRANI! SHUKRAI YAO YA KWAPA, HATA UKIOGA ULIPULIZE PAFYUMU, UPAKE DEODORANT NA BODY SPRAY LIPE DAKIKA 3 TU LIMEFUMU!!!!!!!!!!!! Hawabbeki kama zigo la miba!

Mimi kuna mwnaume mmoja tulikuwa tunafanya nae kazi zamani, saivi hana kazi, hana biashara, yupo u mjini anafugwa na mkewe (alitumia akili kuoa mambo safi). Kula, kulala. Sasa kukutana ananidai mzigo niliomzingua 3 yrs back, anadai twende Zenji kujipumzisha hapo bank card ya mkewe ndo itatumika! Nikamwambia mimi nipo Kwaresma sina mda mchafu wa kuzini kwa mkopo.

Shukrani ya WANAUME tuulize sie ndo tunaiona ona walau kidogo ila wenye mali zao mmmmmmmmh!!!!!!!!!!!!!

GIRLS JUST LIVE YOUR LIFE AND MAKE YOURSELVES HAPPY! Ukiingoja fahari ya mwanaume UTASUBIRI SANAAAAAAAAAAA! Miaka 10000000000000000000 na usiione. Labda akikupiga Free........ ndo anaona fahari yako baaaaaaaaaaaaaaaaasss!. (Perdon my lack of manners and STATING THE OBVIOUS!!!!!!! Calling a SPADE what it actually is A SPADE )

usitukane UKRISTO kwa sababu MCHUNGAJI kaiba...
 
I wish I was utafiti , siunajua mganga hajigangi.

lara1 true said. Kuna watu na watu, wengine hata wapewe nini utulivu na appreciation ni ZERO.

Nikweli kabisa kitu kinachotakiwa kuekwa mbele kwa wanandoa ni appreciation kwa mwenzako
 
Last edited by a moderator:
WANAUME HAWANA SHUKRANI! SHUKRAI YAO YA KWAPA, HATA UKIOGA ULIPULIZE PAFYUMU, UPAKE DEODORANT NA BODY SPRAY LIPE DAKIKA 3 TU LIMEFUMU!!!!!!!!!!!! Hawabbeki kama zigo la miba!

Mimi kuna mwnaume mmoja tulikuwa tunafanya nae kazi zamani, saivi hana kazi, hana biashara, yupo u mjini anafugwa na mkewe (alitumia akili kuoa mambo safi). Kula, kulala. Sasa kukutana ananidai mzigo niliomzingua 3 yrs back, anadai twende Zenji kujipumzisha hapo bank card ya mkewe ndo itatumika! Nikamwambia mimi nipo Kwaresma sina mda mchafu wa kuzini kwa mkopo.

Shukrani ya WANAUME tuulize sie ndo tunaiona ona walau kidogo ila wenye mali zao mmmmmmmmh!!!!!!!!!!!!!

GIRLS JUST LIVE YOUR LIFE AND MAKE YOURSELVES HAPPY! Ukiingoja fahari ya mwanaume UTASUBIRI SANAAAAAAAAAAA! Miaka 10000000000000000000 na usiione. Labda akikupiga Free........ ndo anaona fahari yako baaaaaaaaaaaaaaaaasss!. (Perdon my lack of manners and STATING THE OBVIOUS!!!!!!! Calling a SPADE what it actually is A SPADE )

Upo negative sana kwenye maisha....I think umezungukwa na cycle ya watu either hawajui maisha, wana immaturity(vijana wanaochezea ndoa zao maana bongo huko ndo wanaona ni ujanja)...increase ur cycle of interaction na watu wanaojua maisha vizuri utaona tofauti...na uangalie maisha kwa mitazamo mingi...
 
@ Lara 1 usiwahukumu wanaume wote Kwa kosa la mtu 1 asiyejua thamani ya mke/mwanamke. Still kuna good men out there bt hamjaonana tu.

huyu kuna aina ya maisha yamemzunguka na naona yamemuathiri sana...may be na kukosa exposure ya maisha na watu tofauti tofauti....na wakati mwingine huwa inatujengea definition ya ndoa tofaut tofaut
 
Hata ufanyeje no1 can live it up the way u want them to..
expecting too much frm ur man nayo si nzuri ,asipofulfill unavyotaka then what,ugomvi??js live ur life and make it better kadri uwezavyo...
 
Fahari wa mzazi = mtoto
Fahari wa mke = mume
Fahari na mume =mke
Fahari ya mwalimu =mwanafunzi
Fahari ya mwenye nyumba =nyumba
N.k

Hamna kitu kizuri kama mtu kuwa na kitu ambacho kinampa ufahari. Na ukiwa nacho hutoacha kuki'show off'. Sadly, familia nyingi kwenye jamii yetu zina wanaume wasioona fahari kuwa na wake walio nao, wakati mwingine hata watoto kwahiyo kuwa'show off' ni nje kabisa ya matakwa yao.

Juzi kati kuna mkaka alirudi nyumbani kwake usiku akaanza kugombana na mke wake (heeey I couldn't help it. Huku uswahilini hatuna ceilingbord wala madirisha, your business is everyones bussines). Nwy baadae jamaa akawa analalamika kwamba mwanamke wake ana kauli chafu, kila akirudi anapokelewa na makelele. Which made me think, wanawake (sio wote wala sisemi wengi) huwa wanalalamika waume zao kuchelewa nyumbani, kutopenda kuongozana nao, kutokuwa karibu na watoto na mengineyo bila kujali wala kufikiria ni kwa kiasi gani wao wame/wanachangia hali hiyo.

Wanaume huwa wanaona fahari (sifa) kuongozana na wenzi wao pia kuwatambulisha wakiwa wamependeza. Wanaona sifa kukaribisha wageni/marafiki zao kwenye nyumba iliyopangiliwa vyema, kwa mke asiye na gubu hata kwa wageni, kwa mke anaeweza kuwakaribisha chakula wakakifurahia badala ya kudanganya wameshiba,kwa watoto wanaobebeka (sio mtoto ananuka mkojo muda wote na makamasi/udenda unatiririka kama chemchem) n.k

Mwanamke anatakiwa amsaidie mwanaume wake kuona na kupata fahari kwa kuwa na mkewe huyo, familia, nyumbani n.k

1.Jua kupendeza badala ya kuchekesha. Mfanye mwanaume wako apende na afurahie kuongozana/kuonekana na wewe bila woga wala aibu. Sio mtu tumbo ni kubwa kuliko kiwiliwili cha chini lakini bado unavaa nguo za kubana na kuchora mpaka wanaokuangalia wanakuonea aibu, mumeo ataona nini? Uso umepambwa kama xmass tree nani aonekane na wewe achekwe?

2.Jitahidi kuwa na kauli nzuri ili ukaribishe watu(including mumeo) badala ya kufukuza. Mwanamke ukiwa na kauli mbovu na kuropoka hovyo mwanaume hatoona fahari kukaribisha wageni nyumbani wavutiwe mdomo,wanuniwe na kuropokewa mpaka watamani kuondoka wala hatoshawishika kuwahi kurudi nyumbani.

3.Kuwa msafi. Usafi wa nyumba unamvutia mtu kuwa nyumbani, usafi wa mwili unamvutia mtu kuwa karibu na wewe. Ukishidwa kutofautisha nyumbani na kiwanda cha karatasi kwa hewa nzito/dampo kwa mvurugiko hamu ya kuwepo nyumbani inapungua.

4.Angalia Watoto wako vizuri.
Kuna watoto bwana hata kama unapenda watoto namna gani huwezi kuwabeba. Utaishia kumuongelesha tu na kumshika mashavu. Usiache mtoto aonekane mchafu mchafu kila wakati.

5.Jitahidi kwenye maswala ya UPISHI. Sio lazima uwe mtaalam sana, jifunze kiasi cha kuwafanya watu wafurahie chakula chako. Badala ya mwanaume kurudi ameshiba kila mara, hata akila nje ya nyumbani bado awe na hamu ya kula/kuonja chakula cha mkewe. Na badala ya kwenda kukutana na marafiki zake kwenye nyama choma/supu za mtaani awakaribishe nyumbani kwa chakula.

Mwisho kabisa msisahau UKARIMU. Usiwe mchoyo, usiwe mroho.

Aliyekuoa mama ana raha sana Safi kabisa wanawake kama nyinyi mna stahili tuzo kabisa!
 
WANAUME HAWANA SHUKRANI! SHUKRAI YAO YA KWAPA, HATA UKIOGA ULIPULIZE PAFYUMU, UPAKE DEODORANT NA BODY SPRAY LIPE DAKIKA 3 TU LIMEFUMU!!!!!!!!!!!! Hawabbeki kama zigo la miba!
lara 1 who told you to try them all?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom