Fahima wa Rayvanny ateswa na wivu wa mapenzi

Fahima wa Rayvanny ateswa na wivu wa mapenzi

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
Screenshot_20210419-182551_Instagram.jpg



Fahima anateswa na wivu wa mapenzi baada ya Rayvanny kuweka kambi kwa mtoto Paula.

Anamuita Paula anaejiona amepata 😂😂😂

Nakushauri move on Fey hakunaga laana ya Ex...Hicho anachofanya Ray ndio uanaume sisi wanaume hata uwe mzuri vipi ukikosa heshima na unyenyekevu tunakuacha tunatafuta mali mpya tena tuchagua aliyekuzidi.
 
Kuandika yote hayo nini dada mzuri hivyo na mtoto mmja tu hata hujapoteza kitu.Embu fanya mambo yako utapendwa huko mbele mambo ya kulia kisa mwanaume achana nayo
 
Duuuh inaonekana kaumia sana huyu binti.Povu la kujaza beseni la kuogeshea mtoto hili dah.
 
Rayvany aliitwa kuhojiwa central akamtaja Paula na mamake ndo waliosambaza video.akawageuka
Paula na mamake bila kujua wakidhani msala upo kwa rayavnny wakarudi na kuja kuamshwa usiku mnene na difenda la polisi wakalala lockup
Wameshinda siku mzima hadi usiku wanapigwa na baridi rayavanny kama anampenda si angeenda kumwekea dhamana demu wake na mama mkwe[emoji1787][emoji1787][emoji1787] maana inasemekana kalamba dili la bilioni.
Ye kaingia mitini kaacha familia nahangaika kuwatoa.

Sasa fahma anavomwambia Paula asijione amepata ndo hayo yalotukia hapo juu.huyo rayavanny ni snitch!
Na kesho ataachwa kama fahma vile vile.asijione amepata.
 
Back
Top Bottom