Rayvany aliitwa kuhojiwa central akamtaja Paula na mamake ndo waliosambaza video.akawageuka
Paula na mamake bila kujua wakidhani msala upo kwa rayavnny wakarudi na kuja kuamshwa usiku mnene na difenda la polisi wakalala lockup
Wameshinda siku mzima hadi usiku wanapigwa na baridi rayavanny kama anampenda si angeenda kumwekea dhamana demu wake na mama mkwe[emoji1787][emoji1787][emoji1787] maana inasemekana kalamba dili la bilioni.
Ye kaingia mitini kaacha familia nahangaika kuwatoa.
Sasa fahma anavomwambia Paula asijione amepata ndo hayo yalotukia hapo juu.huyo rayavanny ni snitch!
Na kesho ataachwa kama fahma vile vile.asijione amepata.