Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
FAIDA 21 YA MAZIWA NA KARAFUU
Kikombe cha maziwa iliochanganywa na kijiko kimoja cha chai cha karafuu iliosagwa husaidia:-
1) Utasa au Ugumba
2)Udhaifu wa tendo la jimai
3)Udhaaifu wa moyo,tumbo,maini na figo
4)Udhaifu wa utenda kazi wa moyo na viungo
5)Maumivu ya viungo vya mwili(joint pain)
6)Pumu,makohozi,kukohoa na kuziba pua
7)Kiteku au kwikwi
8)Udhaifu wa tumbo kusaga chakula(indigestion)
9)Kusahau kwingi na msongo wa mawazo au kutojielewa
10)Tatizo la gesi tumboni
11)Udhaifu wa misuli ya kibofu cha mikojo na kutokwa na mikojo bila kutarajia
12)Udhaifu wa meno na fizi
13)Mwili kua na unyonge(kukosa nguvu)
14)Udhaifu wa macho na kuona
15)Maambukizi ya ngozi na kuumwa na wadudu
16)Husaidia kutengeneza viwango vya sukari kwenye damu(blood sugar levels)
17)Mafua na homa
18)Vidonda vya koo na tonsillitis
19)Huzuia magonjwa ya kensa(cancer)
20Hamu,matatizo ya kiakili na mawazo
21)Ugonjwa wa bawasili na magonjwa mengine ya uvimbe mwilini.
Itumie mara 2 au tatu kwa wiki.#wakati bora wa kuitumia ni asubuhi tumbo likiwa na njaa
Ndio maana mtume swallahu aleihi wassallam alitusisitiza sana tutumie maziwa.
*** Utafiti umefanywa na jopo la ma ulamaa wa Tiba za kisunna nchini Malaysia.
Allah awape wagonjwa wote shifaa. Amiin