Faida 6 za kuishi maisha ya ukapera


ha ha ha ha ha e e e e waambie waache umbea,utafikiri thread zote wanazoziona hapa wanajua ni za kweli. Komaana nao ala!za kwako tu ndo za kutunga?? Ha ha ha wananichekesha! Mie







aise muliotajwa hapo mwacheni N4G
 

Halafu wewe nikikumata..............
 

Mmmmmh, wewe!!!!
Mbona haya maneno magumu hivi?
 
Say no to Ukapera.
Utaishia kuiba waume za watu kwa hiari.
Bora tu, utulie, uombe Mungu, wakati ukifika Mume atakuja tu.
 
Kwa kifupi we jamaa ni mchoyo, selfish, halafu wewe ni 50, 50, yani sometiz YES sometimez NO. Unaogopwa utatangazwa hilooo na visheria vyake ngoja viundiwe tume kwanza.
 
Du rafiki hapo umechemka.
Hata Mungu katika uumbaji wake, aliona si vema Adamu akae peke yake, akamtafutia mwenzi wake Eva/Hawa. Tena pengine akasema, zaeni mkaongezeke, mkaijaze nchi, mkatawale wanyama, ndege, samaki nk. Bila ubavu ndugu useless. Na je care, love na affection na biological need which is our nature nayo utaipata wapi?
Mwisho wa siku ukishikilia hizo faida zako utapata depression bureee. Inakuwajeee
Rethink my friend. Mwenza mtamu bwana asikwambie mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…