kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,746
- 2,924
Habari zenu wanajukwaa naomba kujuzwa hivi ulaji wa mbegu za machungwa una athari yoyote mwilini kama ukila chungwa na kulitafuna mbegu zake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahsanteusile mbegu zake mkuu zina sumu aina ya toxin ( cyanide) ambayo ina madhara katika mwili wa binadamu