kinywanyuku JF-Expert Member Joined Jul 13, 2015 Posts 3,746 Reaction score 2,924 Jul 18, 2016 #1 Habari zenu wanajukwaa naomba kujuzwa hivi ulaji wa mbegu za machungwa una athari yoyote mwilini kama ukila chungwa na kulitafuna mbegu zake
Habari zenu wanajukwaa naomba kujuzwa hivi ulaji wa mbegu za machungwa una athari yoyote mwilini kama ukila chungwa na kulitafuna mbegu zake
Squidward JF-Expert Member Joined Jul 21, 2014 Posts 7,828 Reaction score 9,546 Jul 19, 2016 #2 usile mbegu zake mkuu zina sumu aina ya toxin ( cyanide) ambayo ina madhara katika mwili wa binadamu
kinywanyuku JF-Expert Member Joined Jul 13, 2015 Posts 3,746 Reaction score 2,924 Jul 19, 2016 Thread starter #3 LIKE Niku ADD said: usile mbegu zake mkuu zina sumu aina ya toxin ( cyanide) ambayo ina madhara katika mwili wa binadamu Click to expand... ahsante
LIKE Niku ADD said: usile mbegu zake mkuu zina sumu aina ya toxin ( cyanide) ambayo ina madhara katika mwili wa binadamu Click to expand... ahsante