Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kuna watu wanaonesha kama vile maridhiano kati ya CHADEMA na CCM yaliyoasisiwa na Freeman Mbowe, na Samia Suluhu Hassan, ni upendeleo kwa CHADEMA na CHADEMA ni lazima washukuru kwa kuonewa huruma na Samia.
Hivi Taifa la Tanzania lilipata faida gani pale CHADEMA ilipokuwa inakandamizwa isifanye kazi zake halali za kisiasa??
Hivi Taifa la Tanzania lilipata faida gani pale CHADEMA ilipokuwa inakandamizwa isifanye kazi zake halali za kisiasa??