Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Faida mojawapo ni kuuwa watu ambao hawana hatia na kuanzishwa makundi machafu ya kuteka na kutesa Hadi kuuaKuna watu wanaonesha kama vile maridhiano kati ya CHADEMA na CCM yaliyoasisiwa na Freeman Mbowe, na Samia Suluhu Hassan, ni upendeleo kwa CHADEMA na CHADEMA ni lazima washukuru kwa kuonewa huruma na Samia.
Hivi Taifa la Tanzania lilipata faida gani pale CHADEMA ilipokuwa inakandamizwa isifanye kazi zake halali za kisiasa??
RIP Chacha WangweFaida mojawapo ni kuuwa watu ambao hawana hatia na kuanzishwa makundi machafu ya kuteka na kutesa Hadi kuua
Wewe mzee unapenda sana kuamini mizimu!! Ushirikina haujawahi kutusaidia kama taifa!!RIP Chacha Wangwe
😁Wewe mzee unapenda sana kuamini mizimu!! Ushirikina haujawahi kutusaidia kama taifa!!
Inasenekana ni mchawi kweliWewe mzee unapenda sana kuamini mizimu!! Ushirikina haujawahi kutusaidia kama taifa!!
Siku anastaafu kazi, johnthebaptist aliondoka ofisini kwake na usinga, aliodai alipewa Korogwe kama zawadi na mganga mmoja wa Kienyeji aliyekuwa anafahamika kwa jina la Mandondo!!Inasenekana ni mchawi kweli
Mandondo alikatiza hapo Uhindini Iringa kwa akina Galahenga, Tweve, Kimokimo nk ilikuwa balaaSiku anastaafu kazi, johnthebaptist aliondoka ofisini kwake na usinga, aliodai alipewa Korogwe kama zawadi na mganga mmoja wa Kienyeji aliyekuwa anafahamika kwa jina la Mandondo!!
Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!Mandondo alikatiza hapo Uhindini Iringa kwa akina Galahenga, Tweve, Kimokimo nk ilikuwa balaa
Mandondo alitisha kama Tanga bwashee🤩
Afadhali ile siku hizi watu wanauwa mama Zao, wake Zao na watoto wao kusaka ubunge!Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!
wewe hadi kwa Tekelo ulifika. Hirizi viunoni na chale za kishirikina kila mahali ndiyo mlikuwa mnazitegemea kubaki kazini. Tumetoka mbali sana kama taifa!!
Mwakipande na wenzake hao.Afadhali ile siku hizi watu wanauwa mama Zao, wake Zao na watoto wao kusaka ubunge!