Faida, Hasara na Changamoto katika vikundi vya ujasiliamali Tanzania

Faida, Hasara na Changamoto katika vikundi vya ujasiliamali Tanzania

sixty nine69

Member
Joined
Jul 30, 2014
Posts
66
Reaction score
14
Habari.
Siku hizi wa Tanzania tumepiga hatua kubwa sana katika ushirikiano kijamii na moja ya hatua iyo ni kujiunga pamoja ktk vikundi ambavyo vina jihusisha na shughuli za ujasilia mali.

Lakini kuna shida moja mm ambayo nimeiona nayo ni ukosefu wa ujuzi juu ya swala la Faida, Hasala na changamoto za hivi vikundi watu wengi wamekosa elimu hii kiasi cha kupelekea vikundi kutofikia malengo

Wazo langu mm ninaomba kwayoyote ambaye anajihusisha na kikundi chochote kile cha ujasilia mali na ana weza kutufafanulia juu ya Faida, Hasara na changamoto za vikundihiv vya ujasilia mali atujuze apa ilimaradi watu wajue nasio kukurupuka Tu kuji ingiza ktk vikundi hiv

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom